Haji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Manara ajengewe sanamuHaji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
MmmmhMbona majungu tu sms gani ipo hapo?
Kosa moja linahalalisha kosa jingine?Haji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
Kunipigia hawa Wachambuzi uchwara wanaolipwa bila kazi yoyote zaidi ya umbea, nitachangia tofali 3000 ili upande juu zaidi.Manara ajengewe sanamu
Lihalishe lisihalishe mi hainishitui. Ilimradi udhalilishaji wanofanyia wengine Leo umewarudi wao, Safi kabisa. Wanajiona miungu watu Kwa vile Wana platform ya kusemea wenzao?Kosa moja linahalalisha kosa jingine?
DaaaahKunipigia hawa Wachambuzi uchwara wanaolipwa bila kazi yoyote zaidi ya umbea, nitachangia tofali 3000 ili upande juu zaidi.
Ubaya unalipwa kwa ubaya?Lihalishe lisihalishe mi hainishitui. Ilimradi udhalilishaji wanofanyia wengine Leo umewarudi wao, Safi kabisa. Wanajiona miungu watu Kwa vile Wana platform ya kusemea wenzao?
Unawatetea tu lakini ni wapuuzi.Daaaah
asa unatembeza bakuli alafu wewe huyo huyo ukipewa kipaza unaongea shit...KAMA HUJUI MAANA YA KUWA CHAWA PAMBANA KUTAFUTA PESA WACHA KUOMBOMBAKwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Watu wazima na umbea Tena wanaumme.Haji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
SijuiSoka la bongo bwana hivi hata nchi zingine hufanyika haya kwenye ligi zao?
Hiyo inatosha kumtangaza?asa unatembeza bakuli alafu wewe huyo huyo ukipewa kipaza unaongea shit...KAMA HUJUI MAANA YA KUWA CHAWA PAMBANA KUTAFUTA PESA WACHA KUOMBOMBA