balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Apr 13, 2023 #81 GANA BANKS said: Rage alisemaje vile kuhusu watu wake[emoji23][emoji23] Click to expand... Mubumubu
NAHAL JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,670 Reaction score 3,281 Apr 13, 2023 #82 Acha waendelee kusutana hawa wazee kwa maana ndio kula yao hiyo ya kutetea ya Wazee wenzao wenye pesa mjini,,,huku hao Wazee waliojaliwa ukwasi wakiwa kimya!!!
Acha waendelee kusutana hawa wazee kwa maana ndio kula yao hiyo ya kutetea ya Wazee wenzao wenye pesa mjini,,,huku hao Wazee waliojaliwa ukwasi wakiwa kimya!!!
K kiroka JF-Expert Member Joined Feb 28, 2018 Posts 358 Reaction score 1,887 Apr 14, 2023 #83 Ukiwa timamu kidogo tu huwezi kumfanya haji mtu wako wa karibu ushee nae Siri zako,
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Apr 14, 2023 #84 kiroka said: Ukiwa timamu kidogo tu huwezi kumfanya haji mtu wako wa karibu ushee nae Siri zako, Click to expand... Sasa kuna mwenye akili pale we umemuona?
kiroka said: Ukiwa timamu kidogo tu huwezi kumfanya haji mtu wako wa karibu ushee nae Siri zako, Click to expand... Sasa kuna mwenye akili pale we umemuona?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Apr 14, 2023 #85 canfi said: Acha tabia mbaya Click to expand... Kwani uongo?