Haji Manara na mchuchu

Haji Manara na mchuchu

Hapo kashapiga whiskey mkuu.

Haji kweli kapita madrasa lakini mnywaji aswa tena nyagi
Na heineken
Hapo kashapiga whiskey mkuu.

Haji kweli kapita madrasa lakini mnywaji aswa tena nyagi
FB_IMG_1583148338368.jpg

Na heineken
 
Picha za kutengeneza.
Manara kabadili shati na koti mwenzie kavaa nguo ile ile lile sweta.
Mazingira mengine yote ni yale yale kuonesha ilikuwa hapo hapo mfano meza, galsi za kinywaji na keyboard ya computer.
 
Endelea kuamin lakin usipende kushadadia vitu usivyovijua mwaka 2018 nilikua canosa kwenye mahafal ya form six Jerry muro alikua na mtoto wake
Hata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery school
 
Hata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery school
mzee acha ubishi basi,mtoto wa Gadner Habash unamjua?
 
Hata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery school
Hana mtoto Jerry uwiiiiiih upo sahihi usibishane nae huyo lol, Jerry mwenyewe anakatikia mshedede tyuu Nan asiyejua Hilo lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom