Hapo kashapiga whiskey mkuu.Mwalimu wa madrasa anaenda casino?
Cc @jerrymuro
Na heinekenHapo kashapiga whiskey mkuu.
Haji kweli kapita madrasa lakini mnywaji aswa tena nyagi
Hapo kashapiga whiskey mkuu.
Haji kweli kapita madrasa lakini mnywaji aswa tena nyagi
Kabisa mkuu.
Labda chuo kikuu cha ahera...Jerry muro ana mtoto wa kike na yupo chuo kikuu kama ulikua ujui
Endelea kuamin lakin usipende kushadadia vitu usivyovijua mwaka 2018 nilikua canosa kwenye mahafal ya form six Jerry muro alikua na mtoto wakeLabda chuo kikuu cha ahera...
Pourquoi est-ce arrivé au casino barrière et pas ailleurs? Quel était le critère de leur choix?My friend Haji Manara haya mambo mwachie tu Le Mutuz, mzee le bebez!
Usituletee tu corona
View attachment 1384376View attachment 1384377View attachment 1384378
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Jerry katangaza anataka kuoa? Yule sio rizki ndo maana hajaoa na hana hata katoto ka kusingiziwa
Ulishawahi mpa mzigo akashindwa kukuzalisha.
π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨ π¨Muulize mkeo. Mi alinipa mzigo ndo nikajua si rizki
Hata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery schoolEndelea kuamin lakin usipende kushadadia vitu usivyovijua mwaka 2018 nilikua canosa kwenye mahafal ya form six Jerry muro alikua na mtoto wake
mzee acha ubishi basi,mtoto wa Gadner Habash unamjua?Hata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery school
Kama alimzaa akiwa na miaka 20 saizi yupo chuo kikuuHata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery school
My friend Haji Manara haya mambo mwachie Le Mutuz, mzee wa rangi ya mtume
Usituletee tu corona
View attachment 1384376View attachment 1384377View attachment 1384378
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana mtoto Jerry uwiiiiiih upo sahihi usibishane nae huyo lol, Jerry mwenyewe anakatikia mshedede tyuu Nan asiyejua Hilo lolHata mtoto wa kaka yako mwanao. Kwa umri wa Jerry hawezi kuwa na mtoto aliye chuo hivi sasa. Labda kama alimpata akiwa Nursery school
Dah jaman nyinyi watu hata kama mapenzi ya vilabu tunatofautiana si vema kuambiana maneno mabaya namna hii.Hana mtoto Jerry uwiiiiiih upo sahihi usibishane nae huyo lol, Jerry mwenyewe anakatikia mshedede tyuu Nan asiyejua Hilo lol
Sent using Jamii Forums mobile app