Haji Manara na Shafii wakoseana adabu,warushiana tuhuma nzito nzito

Write your reply...
haji ni mpumbavu sana, ila ndo basi tu..
 
Niliwahi kuweka Uzi kuhusu hawa wasemaji wa vilabu vyetu nchini, hawajui majukumu yao ya kazi...
Kosa la shafii Dauda liko wapi hapo? Manara anahemkwa sana
 
Shaffih wala hakutakiwa kujibishana nae
 
Haji Manara ni wa kumsamehe, usipotumia akili na busara ya kumuepuka Manara utaonekana umemkashifu.
Manara anaamini yeye anajua sana kuliko wengine na kwahilo tu inatosha kumuepuka ili kulinda heshima ya taasisi anayoifanyia kazi na hata tasnia yenyewe ya habar na mahusiano.
Wanaokosea ni wale wanaoamini kuwa Manara anahitaji kubadilika kumbe huyu hahitaji kuelekezwa ila kumuacha aamini hivyo tu.
 
Rage anawajua hawa wenzake, basi tu tunafanya ubishi kumsikia...Manara huyu si ndio aliwaambia wenzake kuwa ameandika barua FIFA kudai point za bure kwa hiyo wajiandae kushangilia ubingwa?
 
Jerry Muro ndo alikuwa kiboko ya huyu chizi, maana wote hawana akili. Shaffii wewe kaa kimya, ukiendelea kujibizana na huyu itatufanya tukuweke kundi moja na hawa, sasa mtu kuweka tetesi tu za usajili anaanza kuongelea hadi mambo ya ajira, kwani Shaffii akiomba ajira WASAFI kuna tatizo gani, na je akinyimwa yeye ndio wa kwanza kunyimwa? Hopeless kabisa
 
Hata tetesi za Masoud Djuma zilivoanza kwa Kuachwa DSM Ktk games za mikoani Manara alikanusha kuwa Djuma haondoki! Baadae mnajua kilichotokea!

Baba fundi wa mpira anazaaa mtoto fundi wa mdomo! Kweli riziki mtoaji ni Mungu! Unaweza ukabonyeza bilinganya afu ukanunua nyanya!
 
hawa jamaa wawili - Khadija Manara & Jane Muro - walistahili kwanza kupelekwa kwenye kile "kipimo" alichopendekeza mbunge Kibajaji na kutiliwa mkazo na mbunge Sugu!!
 
Manara aache mikwara kwa waandishi wa habari.
 
Hahaaha migambo inaruka na kukanyagana. Ila Haji mbona mambo ya tetesi za transfer ni kawaida tu kwenye soccer haswa kipindi kama hiki kuelekea dirisha dogo la usajili
Huyo haji naye ni mtu wa ajabu sana!!ila kinachomsaidia ameshawajua anao wasemea wana taka kusikia nini ndio maana hupo hivyo!!kiherehere ili kulinda ajira yake,kumbuka sakata la mo,alivyojifanya ana uchungu kuliko hata wazazi wa mo!!na huyo ukianza kum attack tu yatakuja mambo mengine,ndio maana dauda amejaribu kujizuia sana!!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…