Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetuma kwa makosa laki mbili nilitaka nichange laki kwa hiyo nirudishie laki kwa mamba hii 0655000007 tuma na ya kutolea!Ngoja sisi Yanga tupitishe bakuli hapa jf
Changia yanga m-pesa:0753935973
Du! Umevurugwa kwel, Zito.Zito wa nini tena mkuu
Rage anawajua hawa wenzake, basi tu tunafanya ubishi kumsikia...Manara huyu si ndio aliwaambia wenzake kuwa ameandika barua FIFA kudai point za bure kwa hiyo wajiandae kushangilia ubingwa?Manara ni mgonjwa wa akili. Ni jambo la ajabu kabisa taasisi kubwa kama simba kuwa na kiongozi Mwenye LoW IQ kama ya huyo manara.
Hivi tangu lini tetesi za usajili zikawa ni kosa. Kila siku tunasikia Hazard ananyemwelewa na Madrid, Bale anafukuziwa na Manchester united au Lewandoski anahitajika na team nyingine ila hatujawahi kusikia viongozi wa team hizi wakitokwa na maneno ya hovyo kama huyo manara. Sishangai kwanini hivi vilabu vya simba na yanga haviendelei. Huwezi kuendelea ukiwa na kiongozi mwenye akili fupi za kushindwa kuhimili tetesi za usajili.
hawa jamaa wawili - Khadija Manara & Jane Muro - walistahili kwanza kupelekwa kwenye kile "kipimo" alichopendekeza mbunge Kibajaji na kutiliwa mkazo na mbunge Sugu!!Baada ya Shafii kuweka hii picha,nusu jezi ya Simba nusu Azam ,aisee Manara amefyatuka kama sijui nini.View attachment 937264
Huku maneno mazito mazito yakifuata
View attachment 937266View attachment 937267View attachment 937268 Manara huwa anapenda sana kuwatania watu hasa Yanga lakini huwa yuko sensitive sana.
Huyo haji naye ni mtu wa ajabu sana!!ila kinachomsaidia ameshawajua anao wasemea wana taka kusikia nini ndio maana hupo hivyo!!kiherehere ili kulinda ajira yake,kumbuka sakata la mo,alivyojifanya ana uchungu kuliko hata wazazi wa mo!!na huyo ukianza kum attack tu yatakuja mambo mengine,ndio maana dauda amejaribu kujizuia sana!!'Hahaaha migambo inaruka na kukanyagana. Ila Haji mbona mambo ya tetesi za transfer ni kawaida tu kwenye soccer haswa kipindi kama hiki kuelekea dirisha dogo la usajili