Haji Manara, na umri wako wa zaidi ya miaka hamsini, unaenda kugombania kazi na akina Kamwe, Priva, na ubishane na Ahmed Ally

Huyo labda ndo hivo nyota iwe imefifia, ila kama bado yupo na moto wake nafasi wanampa,, ,,.maana jamaa ni mhamasishaji na pia kiungo muhimu kwenye kamati ya ufundi
Akirudi lazima aandae makafara ya hatari, atachinja kondoo hata hamsini, wengine wanafukiwa ardhini wakiwa wazima wazima. Zitagongwa aya za hatari mpaka moshi utoke bila kuwasha kibetiti
 
Acha chuki
 
Mbona ndugu mtoa mada unaonekana una chuki mbaya sana juu ya mwanadamu mwenzio...... haifai namna hiyo ndugu.......

Hata kama hukubaliani na mtu lakini umefikia kiwango kibaya sana cha chuki.....

Wanadamu hatupaswi kuwa hivyo ndugu yangu........

Nje ya tofauti zetu za hapa na pale bado Sisi ni viumbe wa Mungu na kuna kundi la watu nyuma yetu wanaotutegemea........

Tusifikie huko mpaka kuharibiana ridhiki......unajipa laana na kufuru kwa mola wako.......

Ili mradi amejiona anatosha basi muache awanie.... wenye maamuzi wataamua........

Sisi sote ni waja tu chini ya jua.....mwisho wa siku sote tutafukiwa ardhini....yote tunayoyapigania tunayaacha........

NB
Chuki humchoma aliyeiifadhi........
 
Fainali uzeeni babu! Anaoa kila siku, anakaa kwenye viota vizuri kama ndege, magari na Bata kwenda mbele! Wategemea nini?!
 
Fainali uzeeni babu! Anaoa kila siku, anakaa kwenye viota vizuri kama ndege, magari na Bata kwenda mbele! Wategemea nini?!
Anaishi apartment, nyumba hana, hajui umaarufu huisha, anamtembeza mwanamke huku na kule, hajui muda si muda anapigwa tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…