Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo labda ndo hivo nyota iwe imefifia, ila kama bado yupo na moto wake nafasi wanampa,, ,,.maana jamaa ni mhamasishaji na pia kiungo muhimu kwenye kamati ya ufundiKabla ya mechi ya simba na yanga huwezi kimuona na nywele kichwani, sijui huwa anazipeleka wapi
Akirudi lazima aandae makafara ya hatari, atachinja kondoo hata hamsini, wengine wanafukiwa ardhini wakiwa wazima wazima. Zitagongwa aya za hatari mpaka moshi utoke bila kuwasha kibetitiHuyo labda ndo hivo nyota iwe imefifia, ila kama bado yupo na moto wake nafasi wanampa,, ,,.maana jamaa ni mhamasishaji na pia kiungo muhimu kwenye kamati ya ufundi
Acha chukiTunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Talanta haina ukomo. Mwache aitumie talanta yake, usichukie mafanikio ya mwenzakoSio chuki, tunamwambia ukweli
Kwa ajili ya nini? Manara ni wa kawaida sana kwa sasa. Kamwe kaishika vizuri sana Yanga.Ally Kamweeeee ajiandae kisaikolojia
Fainali uzeeni babu! Anaoa kila siku, anakaa kwenye viota vizuri kama ndege, magari na Bata kwenda mbele! Wategemea nini?!Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Anaishi apartment, nyumba hana, hajui umaarufu huisha, anamtembeza mwanamke huku na kule, hajui muda si muda anapigwa tukioFainali uzeeni babu! Anaoa kila siku, anakaa kwenye viota vizuri kama ndege, magari na Bata kwenda mbele! Wategemea nini?!
Muacheni zungu letuUkitaka kumjua ni mbovu yani kazeeka...achukuliwe na online tv ambazo hazichuji picha...
Wanajua anachowapaga warabu......
Hakuna cha uhuru chochote, ni unafki na roho mbaya vimekujaa tu.Sijachukia, nimetumia uhuru wangu kutoa maoni
Huyo ni mzee wa fitna hakawii kuuza utu wake arudi kitengoniKwa ajili ya nini? Manara ni wa kawaida sana kwa sasa. Kamwe kaishika vizuri sana Yanga.