Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wewe ni mgeni Tz?Umejuaje?
Kwahy ndio ukaona nywele zake za siri?Wewe ni mgeni Tz?
Kwani ndoa zinafungwa chumbani?
Tumia akili aisee))Kwahy ndio ukaona nywele zake za siri?
Sawa 😎Tumia akili aisee))
Unadhani kila kitu kinafundishwa shule??
Pisikali iliyotemwa na muimba singeli,Mna wivu tuu nyie, Manara kachukua pisi kali ambayo hata kuisalimia mnaogopa washamba wakubwa nyie
Hiyo hiyo, unayo?Pisikali iliyotemwa na muimba singeli,
Ninazo kali zaidi ya hiyo. Kwani wewe huna pisi kali?Hiyo hiyo, unayo?
Binadamu wabaya Sanaaa 😅😅Ukitaka kumjua ni mbovu yani kazeeka...achukuliwe na online tv ambazo hazichuji picha...
Mimi huyu Manara simpendi kabisa kwa sababu ya ''uchawa'' wake ulipitiliza lakini huwa namheshimu sana kwa kuweza kutumia mdomo wake kuishi maisha atakayo tena kwenye nchi yenye ubaguzi na imani potofu kwa walemavu kama Tanzania. Japokuwa nchi yetu nayo imejaza nyumbu wengi wasiojielewa lakini yeye na ulemavu wake kuweza kuishi vizuri na kukubalika kama ''star'' ni jambo la kujivunia.Apewe hata kazi ya kusafisha shelf za supermarket za GSM