Haji Manara, na umri wako wa zaidi ya miaka hamsini, unaenda kugombania kazi na akina Kamwe, Priva, na ubishane na Ahmed Ally

Haji Manara, na umri wako wa zaidi ya miaka hamsini, unaenda kugombania kazi na akina Kamwe, Priva, na ubishane na Ahmed Ally

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Apewe hata kazi ya kusafisha shelf za supermarket za GSM
Mimi huyu Manara simpendi kabisa kwa sababu ya ''uchawa'' wake ulipitiliza lakini huwa namheshimu sana kwa kuweza kutumia mdomo wake kuishi maisha atakayo tena kwenye nchi yenye ubaguzi na imani potofu kwa walemavu kama Tanzania. Japokuwa nchi yetu nayo imejaza nyumbu wengi wasiojielewa lakini yeye na ulemavu wake kuweza kuishi vizuri na kukubalika kama ''star'' ni jambo la kujivunia.
 
Haji hakosi 53 amebakiza miaka 7 kustaafu
 
Yule Manara alivyo na fitna mbaya utashangaa tu anaenda msemea Kamwe kwa Gsm" bosi yule kijana nilimuona anamchekea chekea mkeo kuwa makini nae yule" akitoka hapo anaenda kwa Aly Komwe " mdogo wangu kuna habari mkeo analiwa na Injinia " akimaliza hapo huyooo anaenda kukaa sebuleni aangalie varangati
 
Back
Top Bottom