Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huu utaratibu wangeufuta. Badala yake makocha wa timu husika ndiyo wangekuwa wasemaji kama wanavyofanya wenzetu waliopoga hatua kwenye huu mchezo.wanaojita wasemaji,wamasishaji sioni faida yao kisoka ni upuzi tuh