Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.

Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi.

Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na mipwenti mingi, kaja Manara tu kibano kimewageuka.

Asanteni.
 
Nyie ndio mnaua walemavu wa ngozi kwa imani kama hizo!Yawezekana hata utopolo walikuwa na imani hizo
 
Kwa mtazamo huu kama wako,hawa walemavu wa ngozi wataendelea kuwa na mazingira magumu sana ya kuishi
 
Nadhani utakuwa miongoni mwa waliokuwa wanafanya Biashara ya viungo vyao mkiamini vinaongeza nyota na mafanikio kwenye Biashara zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…