cha1509
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 258
- 402
Muda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio timu pekee yenye mashabiki wa ukweli.
Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita, lakin mpka unamaliza hujaleweka!
Next time njoo na key points kwenye press sio kuja kubwabwaja tu bwana mkubwa!
Mimi n mshabiki na mnazi wa Simba kindakindaki, nilitegemea ungetuambia matokeo ya Jana, Kisha utupe mwelekeo mwingine! Matokeo yake umeenda tofauti kabisa!
Sijaridhika hata kidgo na press yako, labda jumatano utakuja umejipanga vizur!
Simba; DO or DIE!
Sent using Jamii Forums mobile app