Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Tathmini ya mchezo hutolewa na kocha au msaidizi wake. Tuheshimu taaluma za watu, Manara yupo sahihi kutozungumzia masuala ya kiufundi. Kuna timu moja kocha anaitisha mkutano wa agenda ya kukusanya mapato ya klabu, na anachukua na minutes za mkutano, sijui wakati huo Mwenyekiti wa klabu au Makamu wake wanakuwa na wajibu gani... Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita,