Tathmini ya mchezo hutolewa na kocha au msaidizi wake. Tuheshimu taaluma za watu, Manara yupo sahihi kutozungumzia masuala ya kiufundi. Kuna timu moja kocha anaitisha mkutano wa agenda ya kukusanya mapato ya klabu, na anachukua na minutes za mkutano, sijui wakati huo Mwenyekiti wa klabu au Makamu wake wanakuwa na wajibu gani... Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita,
@miwani ya maisha[emoji3][emoji11]Yanga mlifuata nini kwenye vikao vya Simba?
Manara umeeleweka vizuri sana hongera kwa uzalendo wako
Kwanini Simba ikishinda yeye km msemaji wa timu huwa anajitokeza na kuelezea? Lazima ifike mahali tuukubali ukweli, tuwe wawazi! Zama za kujisifia tunapofanya vizur na kukaa kimya tunapoboronga, haitujengi!Tathmini ya mchezo hutolewa na kocha au msaidizi wake. Tuheshimu taaluma za watu, Manara yupo sahihi kutozungumzia masuala ya kiufundi. Kuna timu moja kocha anaitisha mkutano wa agenda ya kukusanya mapato ya klabu, na anachukua na minutes za mkutano, sijui wakati huo Mwenyekiti wa klabu au Makamu wake wanakuwa na wajibu gani
Hiyo ni sawa kabisa kiongozi, mimi nimeshangaa critic ya mchangiaji aliyempinga Haji kwa kumwita zeruzeru.Chief binafsi nilijikita kwenye taaluma na mkataba wake, sidhani km Kaz yake n kuizungumzia yanga tu kila kukicha, mambo ya kutembea na mabakuri ni kipindi Cha mpito, na nilichokuwa nakitarajia mm kwenye conference yake n kuizungumzia timu yake na mechi inayokutana nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, na ukiona club imeshinda utaona atakavyojitapa, lakini club ikifungwa, KIMYAAAAAAATanzania ndio nchi peke msemaji wa timu anaitisha press conference halaf anaongelea mipasho baada ya kutoa taarifa za timu
Utafikir jumamos ijayo anacheza na yangaPress conference anaiongelea Yanga tu.
Mbona unataka kutoka nje ya mada? Moja ya kazi ya Ofisa habari ni kuhamasisha watu wake waipende timu na kuipa sapoti, na hamasa ya mashabiki ndio inayovutia wawekezaji na wadhamini kujitokeza. Kampuni gani itapenda kuidhamini timu ambayo hakuna watu wanaohamasika kuitazama na hivyo kutazama matangazo ya biashara? Leo hata washabiki wa Yanga wanafuatilia kwa makini sana ligi ya mabingwa wa Afrika katika kundi la Simba, na wanaweza hata kukupangia msimamo wa kundi ulivyo kutoka kichwani. Yote hayo ni kwa sababu ya hamasa ya klabu. Unaweza ukajikuta hata wewe unamfuatilia Manara zaidi kuliko hata Dismas Ten!Alaaa! Kumbe siku hizi mna vyeo kama vya CCM
Kweli kabisa, na ukiona club imeshinda utaona atakavyojitapa, lakini club ikifungwa, KIMYAAAAAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa vizuri kama ungeweka ushahidi kuwa alizungumzia masuala ya kiufundi siku fulani ambayo Simba ilishinda. Mfano labda Manara amesema Simba imeshinda kwa kuwa ilibadili mfumo na kuwa 3-5-2 kwa kujaza viungo wengi. Au labda Manara amesema Simba imeshinda kwa kuwa Okwi alielekezwa awe anashambulia kwa kutokea upande wa kushoto lakini akichezea zaidi upande wa chini kuja kupokea mipira ya Mkude na KoteiKwanini Simba ikishinda yeye km msemaji wa timu huwa anajitokeza na kuelezea? Lazima ifike mahali tuukubali ukweli, tuwe wawazi! Zama za kujisifia tunapofanya vizur na kukaa kimya tunapoboronga, haitujengi!
Katika hali ya kawaida, hivi mtu anawezaje kujitapa baada ya kufungwa? Mbona kama watu siku hizi hawaeleweki eleweki hivi humu?Kweli kabisa, na ukiona club imeshinda utaona atakavyojitapa, lakini club ikifungwa, KIMYAAAAAAA
Tatizo hujui Kiswahili wala Kingereza .Kwanza acha izo fikra potofu! Nawe unaweza ukazaa mtu wa aina hyo
We nawe umebwabwajaWewe na Manara wote mnabwabwaja.
Siku na wewe ukiitwa mjambaji badala ya sibonike kwa sababu huwa unajamba mara kwa mara tutakuwa tumekosea?Kabla nawewe uja hukumu tafuta kamusi ufahamu nini maana ya zeruzeru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mimi Manara na Pierre wa Liquid Pub wanafanana tu. 5imba nayo ni sawa na Ndanda tuMbona unataka kutoka nje ya mada? Moja ya kazi ya Ofisa habari ni kuhamasisha watu wake waipende timu na kuipa sapoti, na hamasa ya mashabiki ndio inayovutia wawekezaji na wadhamini kujitokeza. Kampuni gani itapenda kuidhamini timu ambayo hakuna watu wanaohamasika kuitazama na hivyo kutazama matangazo ya biashara? Leo hata washabiki wa Yanga wanafuatilia kwa makini sana ligi ya mabingwa wa Afrika katika kundi la Simba, na wanaweza hata kukupangia msimamo wa kundi ulivyo kutoka kichwani. Yote hayo ni kwa sababu ya hamasa ya klabu. Unaweza ukajikuta hata wewe unamfuatilia Manara zaidi kuliko hata Dismas Ten!
Akilala anawaza Yanga. Waandishi nao fefelu, wangemuuliza kituo kinachofuata ni wapi?Kweli kabisa, na ukiona club imeshinda utaona atakavyojitapa, lakini club ikifungwa, KIMYAAAAAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi shabiki wa Simba lakini habari za Manara huwa nazipata kutoka kwenu kwa mashabiki wa JangaKwangu mimi Manara na Pierre wa Liquid Pub wanafanana tu. 5imba nayo ni sawa na Ndanda tu
Acheni unafiki,hakuna sehemu aliyonyanyapaliwa.Kiongozi, hapo umemnyanyapaa kwa ulemavu wake, hujampinga kwa hoja. Hakuomba kuwa mlemavu mkuu. Kumbuka kuwa, hujafa hujaumbika, dunia duara , hujui utayokutana nayo kesho.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule hakunaga hapo. Hawezi acha kuongelea Mme wake maana mapigo yake si mchezo.
Hao AS vita wenyewe hawafungiki kiivyo huenda mwenyeji akapigwa hapahapa, do or dieUkitaka Kuwa Maarufu Izungumzie Timu Ya Wananchi Yanga