Tanzania ndio nchi peke msemaji wa timu anaitisha press conference halaf anaongelea mipasho baada ya kutoa taarifa za timu
Haji ukiangalia press yake imejengeka ktk kuhamasisha washabiki, wanachama wa Simba kuja kuiunga mkono timu yao jmosi, so usitarajie Haji aje na analysis za mechi wkt yeye siyo sehemu ya technical bench hivyo usimlaumu sana De LA Boss muda mwingine huwa anakuwa siyo Msemaji wa Simba bali mshabiki mwenye mzuka kupitiliza wa SimbaMuda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio timu pekee yenye mashabiki wa ukweli.
Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita, lakin mpka unamaliza hujaleweka!
Next time njoo na key points kwenye press sio kuja kubwabwaja tu bwana mkubwa!
Mimi n mshabiki na mnazi wa Simba kindakindaki, nilitegemea ungetuambia matokeo ya Jana, Kisha utupe mwelekeo mwingine! Matokeo yake umeenda tofauti kabisa!
Sijaridhika hata kidgo na press yako, labda jumatano utakuja umejipanga vizur!
Simba; DO or DIE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ana vurugu za mawazo.....achana nae.Muda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio timu pekee yenye mashabiki wa ukweli.
Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita, lakin mpka unamaliza hujaleweka!
Next time njoo na key points kwenye press sio kuja kubwabwaja tu bwana mkubwa!
Mimi n mshabiki na mnazi wa Simba kindakindaki, nilitegemea ungetuambia matokeo ya Jana, Kisha utupe mwelekeo mwingine! Matokeo yake umeenda tofauti kabisa!
Sijaridhika hata kidgo na press yako, labda jumatano utakuja umejipanga vizur!
Simba; DO or DIE!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwakweli mku. anazindua hadi productsTanzania ndio Nchi pekee Duniani Msemaji wa Club anakuwa Maarufu Kuliko Wachezaji Na Kocha wao
Refer ya Masau Bwire Na Haji Manara
Yani wewe ndo ujaeleweka unataka manara atoe tathmini ya mechi iliyopita na inayokuja, sasa Kocha atafanya kazi gani?Muda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio timu pekee yenye mashabiki wa ukweli.
Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita, lakin mpka unamaliza hujaleweka!
Next time njoo na key points kwenye press sio kuja kubwabwaja tu bwana mkubwa!
Mimi n mshabiki na mnazi wa Simba kindakindaki, nilitegemea ungetuambia matokeo ya Jana, Kisha utupe mwelekeo mwingine! Matokeo yake umeenda tofauti kabisa!
Sijaridhika hata kidgo na press yako, labda jumatano utakuja umejipanga vizur!
Simba; DO or DIE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hao vichaa ndiyo maana wanaropoka ropoka tuTanzania ndio Nchi pekee Duniani Msemaji wa Club anakuwa Maarufu Kuliko Wachezaji Na Kocha wao
Refer ya Masau Bwire Na Haji Manara
Mambo ya kiufundi hayo anaongea kochaMuda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio timu pekee yenye mashabiki wa ukweli.
Nilitegemea ungekuja ungeanza na tathmni ya mchezo uliopita, Kisha ukatuambia na Nini kifanyike katika mchezo ujao na As Vita, lakin mpka unamaliza hujaleweka!
Next time njoo na key points kwenye press sio kuja kubwabwaja tu bwana mkubwa!
Mimi n mshabiki na mnazi wa Simba kindakindaki, nilitegemea ungetuambia matokeo ya Jana, Kisha utupe mwelekeo mwingine! Matokeo yake umeenda tofauti kabisa!
Sijaridhika hata kidgo na press yako, labda jumatano utakuja umejipanga vizur!
Simba; DO or DIE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkakati alioelezea Haji ni Kufa au KuponaMuda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio timu pekee yenye mashabiki wa ukweli.