Haji Manara: Simba imerudi nyuma miaka 100, alia na Malinzi

Haji Manara: Simba imerudi nyuma miaka 100, alia na Malinzi

12560e06ea1a2338ef3e9294a831c25d.jpg
fca7b69539475d09c4418bf8498d3ba6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manara amezungumza hoja zake kutokana na maono yake mnashindwa kuzivunja kwa kisingizio cha maumbile yake. Shameful
Kaongea nini zaidi ya pumba tu?

Umri wa Simba: Miaka 81
Simba imerudi nyuma: Miaka 100
Pale Simba ilipo sasa: 81 - 100 = -19 miaka

Conclusion: Ambiguous statement.
 
Daah upeo wetu hauko sawa. Pointi yake kubwa ni kubadili mfumo wa uendeshaji wa timu na katoa mifano mingi hai tatizo ukiwa na mentality ya kwamba ni mropokaji basi hata brain yako huitendei haki kutafakari yale yenye kuwa na tija. Ni kweli team zetu zinaitaji kubadili mifumo ya uendeshaji maana tumebaki hapahapa miaka yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaongea nini zaidi ya pumba tu?

Umri wa Simba: Miaka 81
Simba imerudi nyuma: Miaka 100
Pale Simba ilipo sasa: 81 - 100 = -19 miaka

Conclusion: Ambiguous statement.
Si kila jambo unalibeba kama lilivyotamkwa hii ni fasihi.. Ina maana thaman ya pale walipoanzia haipo tena ni kama uanze biashara yako kwa tsh 10 baada ya muda ukajikuta una madeni na si faida hii ndo kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom