Huyu jamaa hana tofauti Na Deogratius Kisandu, msiyatilie maanani maneno yakeHaji atoa takwimu zake na kusema kuwa SIMBA ndio ya thamani kuliko zote EAST AFRICA
kwani yup anavuta mkwanja mrefu kati ya timu zilizoingia mkataba na sport pesaMkataba wa Sportspesa ulishamaliza ubishi.
Hebu futa mawazo hayo.simba wanaelewa na wanajitambua.kwanza Kwa % kubwa simba INA mashabiki na wanachama wengi kwenye darasa kichwani tofauti na yanga.hata Mo akisepa haitafikia kiwango cha yanga Kwa sasa[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngoja mo ajiondoe baada ya kukataliwa zile 51% za hisa tuone!
Mwakani itakuwa haina tofauti Na Yanga ya Sasa baada ya manji kujitoa
Sawa muda Ni hakimu wa kweliHebu futa mawazo hayo.simba wanaelewa na wanajitambua.kwanza Kwa % kubwa simba INA mashabiki na wanachama wengi kwenye darasa kichwani tofauti na yanga.hata Mo akisepa haitafikia kiwango cha yanga Kwa sasa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yanga na simba ni vitu 2 tofauti simba INA viongozi na wanachama kidogo wamepiga book tofauti na yanga.hata Mo akiondoka mgogoro wa simba hunatatulika sio hao yanga [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngoja mo ajiondoe baada ya kukataliwa zile 51% za hisa tuone!
Mwakani itakuwa haina tofauti Na Yanga ya Sasa baada ya manji kujitoa