Haji Manara: Simba ndio club ya thamani East Africa

Pol Paul

Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
66
Reaction score
55
Haji atoa takwimu zake na kusema kuwa SIMBA ndio ya thamani kuliko zote EAST AFRICA
 
Sijafungua hiyo link ila naunga hoja mkono 100 kwa 100!
 
Ngoja mo ajiondoe baada ya kukataliwa zile 51% za hisa tuone!
Mwakani itakuwa haina tofauti Na Yanga ya Sasa baada ya manji kujitoa
 
Hebu futa mawazo hayo.simba wanaelewa na wanajitambua.kwanza Kwa % kubwa simba INA mashabiki na wanachama wengi kwenye darasa kichwani tofauti na yanga.hata Mo akisepa haitafikia kiwango cha yanga Kwa sasa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sawa muda Ni hakimu wa kweli
 
Ngoja mo ajiondoe baada ya kukataliwa zile 51% za hisa tuone!
Mwakani itakuwa haina tofauti Na Yanga ya Sasa baada ya manji kujitoa
Yanga na simba ni vitu 2 tofauti simba INA viongozi na wanachama kidogo wamepiga book tofauti na yanga.hata Mo akiondoka mgogoro wa simba hunatatulika sio hao yanga [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom