Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Popoma naona mnajifariji na Manara wako,jana mlitamani sana tufungwe lakini pamoja na figisufigisu zote wanaume wa Kimataifa waliibuka na ushindi.
Subirini Muro arejee atoe tamko,andaeni dripu kabisa....
 
Hivi mwaka huu Simba itashiriki mashindano gani ya Kimataifa?
 
simba ndio timu ya kwanza kuuza mechi ya fainali ya caf nyumbani..marsha hakuwahi kucheza nje alikua anachuma matunda cyprus...
 
Yanga jifunzeni kuongea kwa data.Manara katoa data za simba,toeni na zenu tulinganishe nani wa kimataifa na nani wa kitaifa zaidi.
 
ilo si pompoma LA manure bado linaugulia kipigo cha juzi...
Hahahahaa na juzi mmenifurahisha sana mkuu,mmetupunguzia kelele mjini.
Manure wamechezea vichapo viwili mfululizo....
 
Hii mitimu ikifa ndio mpira wa nchi hiii utabadilika,
 
Haji manara,sunday manara,kassimu manara,hawa ni ndugu?
 
Mnawakumbuka hawa: Peter Manyika, Ali Mayai, Salvatory Edward, Bakari Malima, Sekilojo Johnson Chambua, Ephraem Makoye, Edibily Jonas Lunyamila, Kali Ongala. Tajeni wengine wakuu kikosi hiki cha 1998-1999.

Uniambii kitu kuhusu YANGA!!
mi namkumbuka Ahmed Amasha,asee japo nilikua mdogo lakini siku anahama yanga kwenda oman ilikua kama msiba kwangu,sijui aliishia wapi huyo beki namba 3.
 
Wee ni mshabiki maandazi kabisa. Ushaambiwa kama huna takwimu funga bakuli lako. Sio kazi ya Simba kukuwekea takwimu za Yanga. Mwambieni naye mpiga domo wa vyura FC awaandikie rekodi zenu. Hamzijui ndo maana hamuwezi kuongea chochote, mnatia aibu sana kujifanya washabiki wa timu ambayo hata hamuijui, funga bakuli lako.
 
Watanzania tunachojuaga ni history ambayo haaisadi kitu.
 
Wewe ndo ulinganishe Na hizo data za yanga kama unazo,sio kazi ya Manara Wewe Mandazi
 
Dah nazionea timu zetu huruma sana hiyo ndo historia. Wa kwanza kuvaa viatu. Basi iwe wa kwanza kula ubwabwa. Chukueni vikombe vya Africa. Mnajitamba mna historia onyesheni vikombe vya africa sio wa kwanza kulalia godoro
 
mi namkumbuka Ahmed Amasha,asee japo nilikua mdogo lakini siku anahama yanga kwenda oman ilikua kama msiba kwangu,sijui aliishia wapi huyo beki namba 3.
kumbe wewe bado bwana mdogo tuu halaf ni ccm
 
mkuu wonderful heshima yako yani nashukuru nilitaka kuwasahau hawa mashujaa wawili Said Mwamba "Kizota" na Mwamed Hussein dah!
Said Mwamba Kizota maskin si ndie aligongwa na gari akafa akitoka kuangalia mpira uwanja wa taifa?
Sawa sawa kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…