Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Manara ana lalama tu kile kipigo cha mbili bila bado ni mwiba pale msimbazi.....wanaume wenye ligi wanarudi sasa wa mchangani ajiandae kisaikolojia kutoka kileleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilo si pompoma LA manure bado linaugulia kipigo cha juzi...Hahahahaaa naona jiwe limekupata kizani.
Hahahahaa na juzi mmenifurahisha sana mkuu,mmetupunguzia kelele mjini.ilo si pompoma LA manure bado linaugulia kipigo cha juzi...
mi namkumbuka Ahmed Amasha,asee japo nilikua mdogo lakini siku anahama yanga kwenda oman ilikua kama msiba kwangu,sijui aliishia wapi huyo beki namba 3.Mnawakumbuka hawa: Peter Manyika, Ali Mayai, Salvatory Edward, Bakari Malima, Sekilojo Johnson Chambua, Ephraem Makoye, Edibily Jonas Lunyamila, Kali Ongala. Tajeni wengine wakuu kikosi hiki cha 1998-1999.
Uniambii kitu kuhusu YANGA!!
Ilikuwa fainali ndugu tusibishanerudi vzr kwenye historia! ilikuwa ni nusu fainali na siyo fainali! acha uwongo ww utatumbuliwa jipu
Wee ni mshabiki maandazi kabisa. Ushaambiwa kama huna takwimu funga bakuli lako. Sio kazi ya Simba kukuwekea takwimu za Yanga. Mwambieni naye mpiga domo wa vyura FC awaandikie rekodi zenu. Hamzijui ndo maana hamuwezi kuongea chochote, mnatia aibu sana kujifanya washabiki wa timu ambayo hata hamuijui, funga bakuli lako.Na yeye ni msemaji maandazi tu rekodi zote hizo alizoweka alitakiwa azilinganishe na Yanga sio ajisemee tu za Simba.,analeta story za vijiweni kwenye mambo serious banaa. Hizi ni story kama Liverfool kila siku kuweka history wakati wanachezea vichapo na hawajaweza chukua PL kwa miaka kibao.Na wao huwa wanaorodhesha upumbavu kama huu huu wa huyu kilaza Manara wakiwa wanabishana ...Yanga ni wa kimataifa toka Enzi na Simba ni wa mchangani hilo liko wazi na wala sio rocket science.
Mwaka gani,acha ushabiki wakipumbavu Wewe,toa dataYanga timu ya kwanza Africa mashariki kucheza fainali za caf na kupokwa ushindi na asante kotoko ya Ghana baada ya mshindi kuamuliwa kwa kurusha shilingi
Wewe ndo ulinganishe Na hizo data za yanga kama unazo,sio kazi ya Manara Wewe MandaziWee ni mshabiki maandazi kabisa. Ushaambiwa kama huna takwimu funga bakuli lako. Sio kazi ya Simba kukuwekea takwimu za Yanga. Mwambieni naye mpiga domo wa vyura FC awaandikie rekodi zenu. Hamzijui ndo maana hamuwezi kuongea chochote, mnatia aibu sana kujifanya washabiki wa timu ambayo hata hamuijui, funga bakuli lako.
kumbe wewe bado bwana mdogo tuu halaf ni ccmmi namkumbuka Ahmed Amasha,asee japo nilikua mdogo lakini siku anahama yanga kwenda oman ilikua kama msiba kwangu,sijui aliishia wapi huyo beki namba 3.
Sawa sawa kabisa mkuumkuu wonderful heshima yako yani nashukuru nilitaka kuwasahau hawa mashujaa wawili Said Mwamba "Kizota" na Mwamed Hussein dah!
Said Mwamba Kizota maskin si ndie aligongwa na gari akafa akitoka kuangalia mpira uwanja wa taifa?