GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #161
la nyongeza
Yanga africa a.k.a vyura au yeboyebo ama wazee wa 5:0 wao ni wa 55 katika takwimu za CAFLa Nyongeza Hamna Ila Nisaidie Tu Kwa Hapo Kuniambia Simba SC Ni Wa Ngapi Na Yanga FC Ni Wa Ngapi Kwani Sioni Vizuri Na Ukishanipa Tu Majibu Yangu Naomba Hata UZI Wenyewe Nao Uishie Tu Hapa Kwani Yawezekana Tukajua Tayari Nani Wa Kimataifa Na Nani Ni Wa Vyurani.
Huo haukuwa mchezo wa fainali! Pole!Yanga timu ya kwanza Africa mashariki kucheza fainali za caf na kupokwa ushindi na asante kotoko ya Ghana baada ya mshindi kuamuliwa kwa kurusha shilingi
Amesahau kusema simba ilikua team inayomilikiwa na wazungu ndio maana wakavaa viatu na kwenda nje hahahhahaa... kutangulia sio kufika jombaa. Ona mmeachwa
Vyura FcHiv n simba au yanga ambao hawakuja uwanjan wakidai kuwa wamekubaliana wasitokee wote ilikuwa n timu ipi wakuu msaada hapo
Mpaka sasa mnadaiwa na Yanga Magoli Mangapi..?Simba ndio timu ya kwanza kuibamiza Yanga mabao 6-0, kisha 5-0.
Kuvaa suti ndio data ya kujivunia?Yanga jifunzeni kuongea kwa data.Manara katoa data za simba,toeni na zenu tulinganishe nani wa kimataifa na nani wa kitaifa zaidi.