GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #161
la nyongeza![]()
La Nyongeza Hamna Ila Nisaidie Tu Kwa Hapo Kuniambia Simba SC Ni Wa Ngapi Na Yanga FC Ni Wa Ngapi Kwani Sioni Vizuri Na Ukishanipa Tu Majibu Yangu Naomba Hata UZI Wenyewe Nao Uishie Tu Hapa Kwani Yawezekana Tukajua Tayari Nani Wa Kimataifa Na Nani Ni Wa Vyurani.