Waandishi wakacheka!Kuna sehemu alisema "kudadadeki...", " pumbavu!!!"
alikuwa anakodi gari ,analitengeneza nyaraka feki anauza,alikuwa katibu mwenezi wa ccm dsm. JAMAA NI TAPELI NA OPPORTUNIST MKUBWA,thats why hata simba kashaanza kuonyesha tabia yake halisi kwa kuzindua hiyo lotion na pafyumu yake keshaanza matusi na majigambo.SIYO MTU MZURI YULE.Hivi si kuna Manara wa familia ya huyu msemaji wa Simba Haji Manara miaka ya 2000 kati aliwahi kuripotiwa na vyombo vya habari kwamba alikamatwa mkoani Shinyanga kwa kosa la uporaji wa magari? Alikuwa ni baba yake au ni yeye mwenyewe?
Nilicho na hakika nacho ni kwamba jina hilo lilikuwa ni la mwanasoka mashuhuri wa zamani, tukio lilikuwa ni la uporaji, lilitokea mkoani Shinyanga na ilikuwa ni miaka kadhaa nyuma kabla ya 2010 wakati wa kesi ya huyu Haji Manara aliposhitakiwa jijini Dar es Salaam kwa makosa ya kutapeli watu magari yao na utapeli mwingine.
Basi itakuwa alianza tabia hiyo zamani sana. Maana kama nilivyosema tukio lilikuwa la uporaji wa magari kwa silaha (siyo utapeli wa magari) na tukio hilo kwa kumbukumbu zangu ilikuwa kabla ya 2005 kama sikosei.alikuwa anakodi gari ,analitengeneza nyaraka feki anauza,alikuwa katibu mwenezi wa ccm dsm. JAMAA NI TAPELI NA OPPORTUNIST MKUBWA,thats why hata simba kashaanza kuonyesha tabia yake halisi kwa kuzindua hiyo lotion na pafyumu yake keshaanza matusi na majigambo.SIYO MTU MZURI YULE.
hapana wewe unzamzungumzia mchezaji wa zamani wa simba alikuwa anaitwa Michael paul(nylon)ndiye aliiba kwa silaha huyu manara yeye ni tapeli na kaliza wengi sana magariBasi itakuwa alianza tabia hiyo zamani sana. Maana kama nilivyosema tukio lilikuwa la uporaji wa magari nadhani kwa silaha na ilikuwa kabla ya 2005 kama sikosei.
Kiukweli kabisa mkuu jina lilikuwa ni Manara siyo huyo Michael Paul.hapana wewe unzamzungumzia mchezaji wa zamani wa simba alikuwa anaitwa Michael paul(nylon)ndiye aliiba kwa silaha huyu manara yeye ni tapeli na kaliza wengi sana magari
Ukiona hivyo ujue keshabomoa hapo msimbazi maana nasikia hata ccm alibomoa vya kutosha
In God we Trust
Yanga na CCM tofauti yake ni nini?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu hapishani na Bashite, full kujipendekeza kwa wenye vyeo CCM,kumbe shida yake Ubunge.Yes huyu ni tapeli!.
2020 pia kuna wananchi atawatapeli ili awe mbunge wao.
Katutapeli wanasimba kwa kuitumia simba kama bajaji ya shemeji yake,Jana akatuambia mashabiki yeye hana mda na simba.
Teh teh teh! Bibie unahisi nini kinamvuruga msemaji wa Simba?Huyu naye kavurugwa
Ukitoa madhaifu machache ambayo ni kawaida kwa kila binadamu lakini anafanya vizuri sana. Huyu ni moja ya watu ambao wananifanya nitafakari sana swala la vyeti hapa Bongo. Elimu yetu ina matatizo makubwa sana. Mtu kama haji manara anatusua hapa town kwa mbinu za kisomi anazozitekeleza kwa akili ya kawaida tu bila vyeti huku PHDs zikitia aibu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haji manara sio professional unakuwa mshabiki zaidi kuliko msemaji anaingilia Kazi za technical ambazo anapaswa kuongea kocha au kapteni.
Yeye anapaswa kupewa taarifa aidha ya maandishi asome mbele ya waandishi wa habari na sio atoe maneno yake yake mwenyewe coz haji dishi limeyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app