Haji Manara: Simba siyo baba wala mama yangu

Haji Manara: Simba siyo baba wala mama yangu

Anazingua sema ana umuhimu wake sana kwenye uhamasishaji
Hana lolote mzee wa kubwabwaja tu in fact manara ana mdomo mchafu sana .

Mwanzo nilimuona kama jamaa anajielewa sana

Lakini baada ya kupata umaarufu sasa anajiona hakuna wa kumwabia kitu na wengine wote malofa haahahahh

Ana vi hadithi wa kipumbavu sana siku zote akikabwa anakumbushia kuwa babake ni mchezaji wa kwanza kucheza ulaya .hehehehe

Eti gazeti liliandika Sunday manara apata mtoto aitwae haji

Upuuzi tu, sawa babake alikuwa bonge LA mchezaji but ni ujinga na ulofa kujitetea nyuma ya kivuli cha babake

Hivi babake angekuwa ndo Pele si angempiga masingi hadi bwana "jiwe" hehehehheh

Ana ile taste ya kiswazi sijui kuhusu elimu yake sijui kaishia madarasa mangapi

Na sio namwona mchimbachumvi sababu ya ulemavu wake la hasha !!! Amekuwa domo kaya with majivuno too much hadi anaboa .

Kujua na ma macelebrity mavi wa bongo mbilitatu basi kafiiiiiiiiiika!!!

Angejuana ana akina jayz na Beyonce si tungejamba mfululizo kila siku

Sio kuwa namponda najaribu kumwelezea jinsi alivuka mstari na kuwa MTU ovyo mwenye kukera toka MTU makini hapo awali

Haji Sunday manara badili umavyoongea sana ndio tunazidi kuona udhaifu wako siku za mbele jamii itaku ignore

Jaribu kumantain personality yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni shabiki damu wa simba,simba ikifungwa moyoni huwa naumia sana.
Unapoona mtu anatukana Mashabiki
eti wana simu za 70000 kwa mihemuka
ya kwenye whatsappy na Instagram,hii ni
hatari sana kwa mstakabali wa timu.
Mashabiki wa Simba ni wavumilivu sana
wamefungwa 5,ila wamevumilia,wamefungwa na Mashujaa,wamevumila,,,Wamefungwa na
Kombe la Mapinduzi wamevumilia....
Sasa Mashabiki wamepanic na wewe MANALA ulitakiwa kuwa poza Wanasimba
ila sasa,tunashuku kwa wewe MANALA kutumia Log ya Simba kujitangazia biashara yako na kuwakejeri Mashabiki
eti wana simu za vitochi...unakazi kwelikweli......"sidhani Mashabiki watahamasika tena kuingia uwanjani kwa wingi...either uachie ngazi...
Kitendo cha kusema Simba si Baba
yangu wala Mama yangu,.. brother tunakuhemu wewe achia ngazi...cause
maumivu tunayoyapata huku mtaani....
Wewe huyajui...
TUMECHOKA NA UPUUZI WAKO EITHER
UTUOMBE RADHI...lakini navyokujua wewe
huwezi omba radhi .....kuanzia Leo nakuita mchochezi..cause Mashabiki wakikushambulia uwanjani tutaitwa watovu wa na nidhamu....
SIMBA NI BRAND KUBWA...HAKUNA KIONGOZI NI MKUBWA KULIKO SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu neno uvumilivu kwako itakuwa lina maana tofauti. Yaani Simba inafungwa halafu mashabiki wanavumilia?! Muulize Dida.
 
Hana lolote mzee wa kubwabwaja tu in fact manara ana mdomo mchafu sana .

Mwanzo nilimuona kama jamaa anajielewa sana

Lakini baada ya kupata umaarufu sasa anajiona hakuna wa kumwabia kitu na wengine wote malofa haahahahh

Ana vi hadithi wa kipumbavu sana siku zote akikabwa anakumbushia kuwa babake ni mchezaji wa kwanza kucheza ulaya .hehehehe

Eti gazeti liliandika Sunday manara apata mtoto aitwae haji

Upuuzi tu, sawa babake alikuwa bonge LA mchezaji but ni ujinga na ulofa kujitetea nyuma ya kivuli cha babake

Hivi babake angekuwa ndo Pele si angempiga masingi hadi bwana "jiwe" hehehehheh

Ana ile taste ya kiswazi sijui kuhusu elimu yake sijui kaishia madarasa mangapi

Na sio namwona mchimbachumvi sababu ya ulemavu wake la hasha !!! Amekuwa domo kaya with majivuno too much hadi anaboa .

Kujua na ma macelebrity mavi wa bongo mbilitatu basi kafiiiiiiiiiika!!!

Angejuana ana akina jayz na Beyonce si tungejamba mfululizo kila siku

Sio kuwa namponda najaribu kumwelezea jinsi alivuka mstari na kuwa MTU ovyo mwenye kukera toka MTU makini hapo awali

Haji Sunday manara badili umavyoongea sana ndio tunazidi kuona udhaifu wako siku za mbele jamii itaku ignore

Jaribu kumantain personality yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatakiwa kujibu hoja alizotoa Manara.Tatizo tulilonalo watanzania ni wazuri kukwepa kujibu hoja.Chambua hoja zake na utoe mawazo yako vinginevyo Manara kawashika pabaya siku moja mtamkumbuka.Ngoja uone kuanzia kesho mijadala ya hoja zake itakavyotawala kwenye Tv,Magazeti na Social media mbalimbali utapata majibu yake
 
Back
Top Bottom