Anajiona ameshapata jina sasa hivi ila anasahau simba ndio iliyompa jinaTeh teh teh! Bibie unahisi nini kinamvuruga msemaji wa Simba?
Mfukuzeni na Tsabalala kwao wote YangaAende zake huko kwanza linaweza kuwa mamluki kwani familia yao yote ni vyura wa jangwani
kocha yeye, benchi la ufundiMsemaji mkuu wa klabu ya Simba amesema Simba siyo baba wala mama yake.
Manara amesema anaweza kujipatia riziki yake kupitia vyanzo vyake vingine vya mapato na si lazima iwe klabuni hapo.
Manara amenikumbusha sana mwalimu JK Nyerere japokuwa muktadha ni tofauti.
Chanzo: Clouds TV
Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
=====
Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewatolea povu watu wote wanaomtukana mitandaoni pale tu klabu ya Simba inapofungwa.
Manara amesema kazi yake ni kuisemea timu na kutoa taarifa zote zinazohusu klabu hiyo na si vinginevyo, hivyo kitendo cha watu kumtukana kama vile yeye ndiye Mchezaji au Kocha kinamkwaza sana.
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara amefunguka kuchukizwa na kitendo cha mashabiki wa klabu hiyo kumtukana baada ya timu hiyo kupoteza nafasi katika michuano ya SportPesa Cup.
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara.
Manara ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanahabari leo Januari 26, ambapo amesema kuwa anasikitishwa na kitendo cha mashabiki hao kuingilia maisha yake binafsi.
"Nimechukizwa sana na mashabiki wa Simba kunitukana kwenye mitandao, kufikia hatua ya kunitukania mama mzazi kisa klabu kufungwa hawataki nifanye vitu vyangu binafsi, wanahoji kwanini nazindua bidhaa zangu wakati timu imefungwa", amesema Manara.
Ameongeza kuwa, "Haiwezekani kutofanya fanya shughuli zangu kisa Simba imefungwa, hiki ni kipato changu maana nina maisha yangu, waambieni kuwa sijawahi sema Simba nitaishi milele, nitabaki kuwa shabiki milele lakini sio kwenye kufanya kazi na tusichukuliane poa".
Baada ya Simba kutolewa na Bandari FC katika nusu fainali ya michuano ya SportPesa kesho itacheza na Mbao FC ili kusaka nafasi ya tatu.
Hahaa aiseeAlikuwa Katibu wa CCM mkoa we Dar Es Salaam akaiba akafukuzwa ila alizuga amejiuzuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha jamaa kawageuka " .... manina anatumia fan base ya simba kujipatia fame ... na jinsi alivyo domo kaya mtamkomaMimi ni shabiki damu wa simba,simba ikifungwa moyoni huwa naumia sana.
Unapoona mtu anatukana Mashabiki
eti wana simu za 70000 kwa mihemuka
ya kwenye whatsappy na Instagram,hii ni
hatari sana kwa mstakabali wa timu.
Mashabiki wa Simba ni wavumilivu sana
wamefungwa 5,ila wamevumilia,wamefungwa na Mashujaa,wamevumila,,,Wamefungwa na
Kombe la Mapinduzi wamevumilia....
Sasa Mashabiki wamepanic na wewe MANALA ulitakiwa kuwa poza Wanasimba
ila sasa,tunashuku kwa wewe MANALA kutumia Log ya Simba kujitangazia biashara yako na kuwakejeri Mashabiki
eti wana simu za vitochi...unakazi kwelikweli......"sidhani Mashabiki watahamasika tena kuingia uwanjani kwa wingi...either uachie ngazi...
Kitendo cha kusema Simba si Baba
yangu wala Mama yangu,.. brother tunakuhemu wewe achia ngazi...cause
maumivu tunayoyapata huku mtaani....
Wewe huyajui...
TUMECHOKA NA UPUUZI WAKO EITHER
UTUOMBE RADHI...lakini navyokujua wewe
huwezi omba radhi .....kuanzia Leo nakuita mchochezi..cause Mashabiki wakikushambulia uwanjani tutaitwa watovu wa na nidhamu....
SIMBA NI BRAND KUBWA...HAKUNA KIONGOZI NI MKUBWA KULIKO SIMBA
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh kumbe jamaa ni tapeli la kutupa tu mjini hapa ...Huyu bwana katoa kauli ya madharau sana kwa wana Simba na siyo mara ya kwanza ku hype kitu kikifeli watu wakilalamika, anawaita vilaza hawajui kitu, sasa watu wanalalamika wachezaji wasiojituma wnaoshinda club siku moja kabla ya mechi wakilewa na kufanya ngono bila kuchukuliwa hatua au kocha anayeshindwa kubadili mbinu wanaambiwa ni washamba WATUMIA VISIMU VYA TECNO
Ikumbukwe huyo anayewasimanga watumia visimu vya tecno ALISHAWAHI KUPATWA NA TUHUMA ZA UTAPELI WA MAGARI akijifanya anakodi kwako kumbe anaenda kuuza kwa kutumia cheo cha katibu mwenezi wa CCM DSM na walimpiga chini
Kahangaika redio uhuru ili apate umaarufu ikashindikana, leo kadhihirisha madai ya baadhi ya watu kwamba anaitumia Simba kama ngazi ya kufanyia mambo yake, kapata jina nchi nzima anakuwa kama kachanganyikiwa, watumia VI TECNO HATA KAMA NI WANA SIMBA KWAKE NI WANUKA JASHO wasio na maana,yuko busy na mapyumu yake na lotion huku akitishia kwamba simba sio mama wala baba yake.
I DARE HIM TO QUIT HIS JOB.ondoka basi tuone kama utakuwa na jeuri uliyonayo sasa hivi mjini,umetoka uswahilini kule ulipokuwa unampigaga mkeo kama bondia leo unaishi mikocheni DHARAU NA KIBURI KIMEKUJAA
nawakumbusha wasiomjua huyu mtu na KESI YAKE YA UTAPELI
Stori Kamili
ALIYEKUWA Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara (35), jana alipandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya wizi wa magari na kujipatia mamilioni ya fedha kwa njia ya udanganyifu.
Manara alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambapo umati wa watu ulifurika, wakiwemo ndugu zake ambao walionekana kulengwa na machozi, baada ya mshitakiwa huyo kurudishwa rumande.
Mtuhumiwa huyo, ambaye aliamua kujiuzulu wadhifa huo, kutokana na tuhuma hizo za utapeli wa magari, alisomewa mashitaka sita na kurudishwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Alisomewa mashitaka hayo na Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Batseba Kasanga, mbele ya Hakimu Benadicta Beda. Batseba alidai Novemba 27 mwaka jana, eneo la Magomeni, wilaya ya Kinondoni, aliiba gari aina ya Toyota OPA, lenye namba za usajili T 527 AVB, alilolichukua kutoka kwa Abdul Ngalawa kwa madai kwamba angeenda kuliuza kwa sh. milioni 10 na kumrudishia fedha hizo, lakini alitumia kwa matumizi yake binafsi.
Pia anadaiwa Desemba 19 mwaka jana, eneo hilo la Magomeni, kwa njia ya udanganyifu alijipatia magari mawili yenye namba T 866 BEB aina ya Toyota IPSAM lenye thamani ya sh. milioni 14 na T 746 AVU aina ya Toyota NADIA lenye thamani ya sh. milioni 12 mali ya Asma Miraji, baada ya kujifanya kwamba atamrudishia magari hayo baada ya siku 10, jambo ambalo siyo la kweli.
Januari 5 mwaka huu, eneo la Kinondoni, Manara anadaiwa kwa nia ya udanganyifu alijipatia sh. milioni 5 mali ya Jacob Manyanga, kwa madai ya kwamba atamuuzia gari huku akijua si kweli.
Katika shitaka lingine, Manara anadaiwa Desemba 20 mwaka jana, eneo la Magomeni kwa nia ya udanganyifu alijipatia sh. milioni tatu mali ya Wilson Matimba, kwa madai kwamba atamuuzia gari huku akijua si kweli.
Manara pia anadaiwa Januari 29 mwaka huu, saa 11.00 jioni, eneo la Magomeni, wilaya ya Kinondoni, kwa nia udanganyifu alijipatia sh. milioni 1.9 kutoka kwa Dotto Hussein, baada ya kujitambulisha kuwa ni mfanyabiashara na kwamba atamrudishia fedha hizo baada ya siku tano.
Shitaka lingine, Manara anadaiwa Januari 13 mwaka huu, saa 2.00 usiku, eneo la Magomeni, kwa nia ya udanganyifu alijipatia sh. milioni 3.6 kutoka kwa Fadhil Kassim baada ya kujifanya ni mfanyabiashara na kwamba atamrudishia fedha hizo baada ya siku tano.
Manara alikana mashitaka. Upande wa Mashitaka ulidai upelelezi haujakamilika na kwamba hauna kipingamizi kuhusu dhamana. Hakimu Benadicta alitaja masharti ya dhamana kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika kisheria ambao wanapaswa kuweka hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya sh. milioni 35 au kutoa fedha taslim sh. milioni 17.
Hata hivyo, Manara alishindwa kutimiza masharti hayo, ambapo alirudishwa rumande hadi Machi 4, mwaka huu, kesi itakapotajwa.
Manara alipandishwa kizimbani saa 7.30 mchana, na kusomewa mashitaka katika chumba cha mahakama ‘chemba’, hali iliyofanya polisi kuwatoa baadhi ya watu baada ya chumba hicho kujaa.
Hata hivyo, ndugu na jamaa wa Manara aliyeonekana kujiamini, walikuwa wakiwazuia wapigapicha kumpiga picha, jambo ambalo mshitakiwa huyo alitaka kuwaacha watekeleze jukumu lao.
Mahakamani hapo, jana watu wanaodai kutapeliwa na Manara magari yao na kutoingizwa katika hati ya mashitaka, walidai wataenda kituoni kufungua mashitaka.
POSTED BY: NKOROMO BASHIR AT 2/18/2010
View attachment 1006085
Dadeki ....mikia wanajua kwamba jamaa yao ni tapeli la kutupwahapana wewe unzamzungumzia mchezaji wa zamani wa simba alikuwa anaitwa Michael paul(nylon)ndiye aliiba kwa silaha huyu manara yeye ni tapeli na kaliza wengi sana magari
Hahaah mkuu bongo ukiwa mdananda tu unatoboa ... maana vyombo vyetu vya habari Vina. Penda story za umbea umbea na ujinga .... ukiwaambia nataka kufanya I press conference nimemfumania mke wangu ...utawaona hao ... ila ukiwaita kwenye Press conference ili uzungumzie masuala ya ukuaji au ushukaji wa pato la taifa kiuchumi ....kwenye press utabaki peke yako
Na nani?Huyu naye kavurugwa
Anajua mwenyeweNa nani?
KheeeeHuyu bwana katoa kauli ya madharau sana kwa wana Simba na siyo mara ya kwanza ku hype kitu kikifeli watu wakilalamika, anawaita vilaza hawajui kitu, sasa watu wanalalamika wachezaji wasiojituma wnaoshinda club siku moja kabla ya mechi wakilewa na kufanya ngono bila kuchukuliwa hatua au kocha anayeshindwa kubadili mbinu wanaambiwa ni washamba WATUMIA VISIMU VYA TECNO
Ikumbukwe huyo anayewasimanga watumia visimu vya tecno ALISHAWAHI KUPATWA NA TUHUMA ZA UTAPELI WA MAGARI akijifanya anakodi kwako kumbe anaenda kuuza kwa kutumia cheo cha katibu mwenezi wa CCM DSM na walimpiga chini
Kahangaika redio uhuru ili apate umaarufu ikashindikana, leo kadhihirisha madai ya baadhi ya watu kwamba anaitumia Simba kama ngazi ya kufanyia mambo yake, kapata jina nchi nzima anakuwa kama kachanganyikiwa, watumia VI TECNO HATA KAMA NI WANA SIMBA KWAKE NI WANUKA JASHO wasio na maana,yuko busy na mapyumu yake na lotion huku akitishia kwamba simba sio mama wala baba yake.
I DARE HIM TO QUIT HIS JOB.ondoka basi tuone kama utakuwa na jeuri uliyonayo sasa hivi mjini,umetoka uswahilini kule ulipokuwa unampigaga mkeo kama bondia leo unaishi mikocheni DHARAU NA KIBURI KIMEKUJAA
nawakumbusha wasiomjua huyu mtu na KESI YAKE YA UTAPELI
Stori Kamili
ALIYEKUWA Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara (35), jana alipandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya wizi wa magari na kujipatia mamilioni ya fedha kwa njia ya udanganyifu.
Manara alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambapo umati wa watu ulifurika, wakiwemo ndugu zake ambao walionekana kulengwa na machozi, baada ya mshitakiwa huyo kurudishwa rumande.
Mtuhumiwa huyo, ambaye aliamua kujiuzulu wadhifa huo, kutokana na tuhuma hizo za utapeli wa magari, alisomewa mashitaka sita na kurudishwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Alisomewa mashitaka hayo na Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Batseba Kasanga, mbele ya Hakimu Benadicta Beda. Batseba alidai Novemba 27 mwaka jana, eneo la Magomeni, wilaya ya Kinondoni, aliiba gari aina ya Toyota OPA, lenye namba za usajili T 527 AVB, alilolichukua kutoka kwa Abdul Ngalawa kwa madai kwamba angeenda kuliuza kwa sh. milioni 10 na kumrudishia fedha hizo, lakini alitumia kwa matumizi yake binafsi.
Pia anadaiwa Desemba 19 mwaka jana, eneo hilo la Magomeni, kwa njia ya udanganyifu alijipatia magari mawili yenye namba T 866 BEB aina ya Toyota IPSAM lenye thamani ya sh. milioni 14 na T 746 AVU aina ya Toyota NADIA lenye thamani ya sh. milioni 12 mali ya Asma Miraji, baada ya kujifanya kwamba atamrudishia magari hayo baada ya siku 10, jambo ambalo siyo la kweli.
Januari 5 mwaka huu, eneo la Kinondoni, Manara anadaiwa kwa nia ya udanganyifu alijipatia sh. milioni 5 mali ya Jacob Manyanga, kwa madai ya kwamba atamuuzia gari huku akijua si kweli.
Katika shitaka lingine, Manara anadaiwa Desemba 20 mwaka jana, eneo la Magomeni kwa nia ya udanganyifu alijipatia sh. milioni tatu mali ya Wilson Matimba, kwa madai kwamba atamuuzia gari huku akijua si kweli.
Manara pia anadaiwa Januari 29 mwaka huu, saa 11.00 jioni, eneo la Magomeni, wilaya ya Kinondoni, kwa nia udanganyifu alijipatia sh. milioni 1.9 kutoka kwa Dotto Hussein, baada ya kujitambulisha kuwa ni mfanyabiashara na kwamba atamrudishia fedha hizo baada ya siku tano.
Shitaka lingine, Manara anadaiwa Januari 13 mwaka huu, saa 2.00 usiku, eneo la Magomeni, kwa nia ya udanganyifu alijipatia sh. milioni 3.6 kutoka kwa Fadhil Kassim baada ya kujifanya ni mfanyabiashara na kwamba atamrudishia fedha hizo baada ya siku tano.
Manara alikana mashitaka. Upande wa Mashitaka ulidai upelelezi haujakamilika na kwamba hauna kipingamizi kuhusu dhamana. Hakimu Benadicta alitaja masharti ya dhamana kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika kisheria ambao wanapaswa kuweka hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya sh. milioni 35 au kutoa fedha taslim sh. milioni 17.
Hata hivyo, Manara alishindwa kutimiza masharti hayo, ambapo alirudishwa rumande hadi Machi 4, mwaka huu, kesi itakapotajwa.
Manara alipandishwa kizimbani saa 7.30 mchana, na kusomewa mashitaka katika chumba cha mahakama ‘chemba’, hali iliyofanya polisi kuwatoa baadhi ya watu baada ya chumba hicho kujaa.
Hata hivyo, ndugu na jamaa wa Manara aliyeonekana kujiamini, walikuwa wakiwazuia wapigapicha kumpiga picha, jambo ambalo mshitakiwa huyo alitaka kuwaacha watekeleze jukumu lao.
Mahakamani hapo, jana watu wanaodai kutapeliwa na Manara magari yao na kutoingizwa katika hati ya mashitaka, walidai wataenda kituoni kufungua mashitaka.
POSTED BY: NKOROMO BASHIR AT 2/18/2010
View attachment 1006085
Anaongea Kama kasuku halafu maneno yanasmrudiaMsemaji mkuu wa klabu ya Simba amesema Simba siyo baba wala mama yake.
Manara amesema anaweza kujipatia riziki yake kupitia vyanzo vyake vingine vya mapato na si lazima iwe klabuni hapo.
Manara amenikumbusha sana mwalimu JK Nyerere japokuwa muktadha ni tofauti.
Chanzo: Clouds TV
Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
=====
Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewatolea povu watu wote wanaomtukana mitandaoni pale tu klabu ya Simba inapofungwa.
Manara amesema kazi yake ni kuisemea timu na kutoa taarifa zote zinazohusu klabu hiyo na si vinginevyo, hivyo kitendo cha watu kumtukana kama vile yeye ndiye Mchezaji au Kocha kinamkwaza sana.
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara amefunguka kuchukizwa na kitendo cha mashabiki wa klabu hiyo kumtukana baada ya timu hiyo kupoteza nafasi katika michuano ya SportPesa Cup.
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara.
Manara ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanahabari leo Januari 26, ambapo amesema kuwa anasikitishwa na kitendo cha mashabiki hao kuingilia maisha yake binafsi.
"Nimechukizwa sana na mashabiki wa Simba kunitukana kwenye mitandao, kufikia hatua ya kunitukania mama mzazi kisa klabu kufungwa hawataki nifanye vitu vyangu binafsi, wanahoji kwanini nazindua bidhaa zangu wakati timu imefungwa", amesema Manara.
Ameongeza kuwa, "Haiwezekani kutofanya fanya shughuli zangu kisa Simba imefungwa, hiki ni kipato changu maana nina maisha yangu, waambieni kuwa sijawahi sema Simba nitaishi milele, nitabaki kuwa shabiki milele lakini sio kwenye kufanya kazi na tusichukuliane poa".
Baada ya Simba kutolewa na Bandari FC katika nusu fainali ya michuano ya SportPesa kesho itacheza na Mbao FC ili kusaka nafasi ya tatu.
Anajua nyie ni mbumbumbu ndo maana anawageuza geuza Kama chapatiHuyu Manara ana ndimi mbili moja ya kuelezea ufundi na utaalam wa wachezaji wa Simba pamoja na beberu (ndevu) Aussems lakini nyingine ya kuruka Kimanga na kuwalaumu na kuwabeza mashabiki simba wanao mhoji kuhusiana na kile alicho waaminisha tena kwa majigambo makubwa huyu " mbunge" mtarajiwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu Kama ile ya mishe zake anaisemea Simba,anatatizoNiliwahi kusema hapa,kwenye uzi wangu,anashindwa kutofautisha kati ya haji km personality na haji km msemaji wa simba.
Bodi ya simba mwangalieni kwa jicho la pili...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo huko kwa mkopo tu