Haji Manara, staha ni jambo muhimu sana kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu

Dawa imewaingia vizuri panapostahili haswa!!!
MJOMBA MANARA SONGA MBELE!! KAZA UZI NA HONGERA KWA KUFIT VYEMA KUNAKO NAFASI YAKO!!!
Halafu msipende kulinganisha ligi yetu na Epl!!!
HAPA TUNA KITU KINAITWA UTANI WA JADI!!!!
 
hizi timu za yanga na simba ndizo zinazoharibu mpira wa tanzania,mtu kisa anajua kupiga domo tu redioni,uswahili swahili mwingi basi ashajua mpira hana planning skills,tz mpira bado saaaaaaaaaaaaaaaaana
 
2020 nchi inahitaji mabadiliko
Ndio yameanza, nasikia sisiemu wana katibu mpya!

Yaani wewe una hata aibu, bado unataka yanga irudi kwenye kutegemea mtu mmoja. Changamoto za sasa inatakiwa kama mna akili mjue kuwa na siku za mbele kama huyo unayetaka aje yakimkuta tena yanga inarudi pale pale. Tafuteni suluhisho la kudumu sio kupiga kele tena mtu kama manji awekewe mazingira ya kuja haribu mfumo na kuupiga ganzi.
 
Ndio maana simba na yanga wanaitwa ni WATANI WA JADI.

Manu na Mancity; everton na liver; sunderland na newcastle sio watani wa jadi bali ni derbies tu ma ni arch rivals.
 
Huyo Jamaa sijui " manara ""...ni Popoma...." mtu gani mdomo wake unatoa maneno machafu kama huwa hapigi mswaki""...Mimi sio shabiki wa mpira but niwe muwazi ".huyo manara anaifanya simba ionekane "" kama kijiwe cha wahuni ""......na sio taasisi ya watu " wenye IQ zao kubwa ""......
 
Nimesoma mahali jana kuwa Manara kasema kuwa simba pia itasajili wachezaji wa yanga kwa kulipa kisasi kwa waliyofanyiwa kipindi cha nyuma. Kama ni kweli kazungumza hivyo kombe la Afrika waliloagizwa Simba walilete itatuchukua miaka zaidi ya kumi kulipata. Ssasa hivi simba wana pesa ni wakati wa kusajili watu kama wakina Katongo, Bance, Wawa n.k ili walete uzoefu mpya na changamoto mpya katika kupambana Afrika na si Tanzania tu.
 
Yanga imeshikwa kila kona,ndani na nje ya uwanja. Manara kamua baba ajira umepewa na Simba leo majukumu upangiwe na Yanga? Eti ulaya mbona hivi nyeeeee nyeeeee kwa hiyo
 
Yanga imeshikwa kila kona,ndani na nje ya uwanja. Manara kamua baba ajira umepewa na Simba leo majukumu upangiwe na Yanga? Eti ulaya mbona hivi nyeeeee nyeeeee kwa hiyo
Mtasababisha atukanwe!. Ngoja waje akina J Muro
 
Dawa imewaingia vizuri panapostahili haswa!!!
MJOMBA MANARA SONGA MBELE!! KAZA UZI NA HONGERA KWA KUFIT VYEMA KUNAKO NAFASI YAKO!!!
Halafu msipende kulinganisha ligi yetu na Epl!!!
HAPA TUNA KITU KINAITWA UTANI WA JADI!!!!
Mkuu Mimi naona Hawa vyura wakiendelea kutoa povuu Basi tumwambie Hans pope au makonda ainunue hii timu alafu mwaka unaofuata tuishushe daraja kwa kwa kipigo Cha bao 50 Bila!
 
Wewe NI churaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…