masanzu
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 605
- 217
2020 nchi inahitaji mabadilikoPia sababu nyingine ni Trump na Kim Jon Un.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2020 nchi inahitaji mabadilikoPia sababu nyingine ni Trump na Kim Jon Un.
hizi timu za yanga na simba ndizo zinazoharibu mpira wa tanzania,mtu kisa anajua kupiga domo tu redioni,uswahili swahili mwingi basi ashajua mpira hana planning skills,tz mpira bado saaaaaaaaaaaaaaaaanaHio kazi ya HR kumpa huyo mtu Simba walikosea sana; kazi kama hio inataka mtu mwenye uelewa mkubwa na shule kaenda sio kumpatia mtu hata form 4 yenyewe ya shida. Kwa vile sasa itaendeshwa kibiashara zaidi inabidi iangalie na hawa waajiriwa vizuri watakaoleta positive images kwa klabu sio hawa watu wa mipasho utafikiri wako kwenye taarab.
Ndio yameanza, nasikia sisiemu wana katibu mpya!2020 nchi inahitaji mabadiliko
Ndio maana simba na yanga wanaitwa ni WATANI WA JADI.Hio kazi ya HR kumpa huyo mtu Simba walikosea sana; kazi kama hio inataka mtu mwenye uelewa mkubwa na shule kaenda sio kumpatia mtu hata form 4 yenyewe ya shida. Kwa vile sasa itaendeshwa kibiashara zaidi inabidi iangalie na hawa waajiriwa vizuri watakaoleta positive images kwa klabu sio hawa watu wa mipasho utafikiri wako kwenye taarab.
Ha ha ha ha ha ha ha ha!!!Hizi akili za kirithi kwa Manara.
Club Tajiri Afrika Mashariki na kati haina hata uwanja, kuwa serious basi.
Hata rangi ya manara tutaiona!. Tunakoelekea atakashifiwa mchukie.....yule Manara kapungukiwa kila kitu kuanzia akili mpaka rangi!!Yanga hakuna rangi mtaacha kuona mwaka huu
Mtasababisha atukanwe!. Ngoja waje akina J MuroYanga imeshikwa kila kona,ndani na nje ya uwanja. Manara kamua baba ajira umepewa na Simba leo majukumu upangiwe na Yanga? Eti ulaya mbona hivi nyeeeee nyeeeee kwa hiyo
Mkuu Mimi naona Hawa vyura wakiendelea kutoa povuu Basi tumwambie Hans pope au makonda ainunue hii timu alafu mwaka unaofuata tuishushe daraja kwa kwa kipigo Cha bao 50 Bila!Dawa imewaingia vizuri panapostahili haswa!!!
MJOMBA MANARA SONGA MBELE!! KAZA UZI NA HONGERA KWA KUFIT VYEMA KUNAKO NAFASI YAKO!!!
Halafu msipende kulinganisha ligi yetu na Epl!!!
HAPA TUNA KITU KINAITWA UTANI WA JADI!!!!
Wewe NI churaaaHuyo Jamaa sijui " manara ""...ni Popoma...." mtu gani mdomo wake unatoa maneno machafu kama huwa hapigi mswaki""...Mimi sio shabiki wa mpira but niwe muwazi ".huyo manara anaifanya simba ionekane "" kama kijiwe cha wahuni ""......na sio taasisi ya watu " wenye IQ zao kubwa ""......
ZeruzeruWewe NI churaaa
Mwambie ajaribu Kama hajaozea jelaaa, dady is kaming!Mtasababisha atukanwe!. Ngoja waje akina J Muro
Zeru zeru hajawahi kuwa na akiliMwambie ajaribu Kama hajaozea jelaaa, dady is kaming!