Chura ana akili??Zeru zeru hajawahi kuwa na akili
Reality ipo wapi?. Manara ni zeruzeru mjinga nani ni chura sasa?Chura ana akili??
Huwajui chura?? Nenda pale jangwani utakuta bwawa , vyura wamejazana pale, hawana akili hata ya kutoka nje ya tope!Reality ipo wapi?. Manara ni zeruzeru mjinga nani ni chura sasa?
Umri wako maana mpuuzi wa kiakiriHuwajui chura?? Nenda pale jangwani utakuta bwawa , vyura wamejazana pale, hawana akili hata ya kutoka nje ya tope!
Chura umri unaujua?? Unautaka wa Nini?? Unataka kutambika??Umri wako maana mpuuzi wa kiakiri
na wewe ni KobeWewe NI churaaa
Unajidhalilisha bure humu ndani. Badilika.Zeru zeru hajawahi kuwa na akili
Wala hatujawahi kuwasikia Louis Sendeu na Jerry Muro wakiropoka kama hivi 😀😀😀. Povu ruksa!... Ligi ya mabingwa ulaya madrid wamechkua ndoo mara tatu mfululizo hatujamsikia msemaji wao akiropoka kama ufanyavyo manara...
Sitaki akili yangu wala ya msomaji yeyote itilie manani juu ya uwezo wako kichwani, elimu yako, makuzi yako wala jamii yako.
Itoshe tu kusema staha ni jambo muhimu sana kwa binaadamu yeyote yule mwenye akili na utashi. wewe sio mmoja wapo mwenye staha. Unaropoka sana. inakera.
Dunia ni kijiji, japo sijui Tanzania ipo sehemu gani ya hicho kijiji kama ni mjini au kijijini mwa kijijini. Juzi tumeshuhudia ligi kuu mbalimbali barani ulaya na kwinginepo duniani zikitia tamati na mabingwa wakitangazwa.
Ligi yetu pendwa pale lwa malikia imeisha na city kuwa bingwa hatujamsikia msemaji wa klabu ile akipayuka hovyo kama Manara. Tuseme hayupo? Ligi ya mabingwa ulaya madrid wamechkua ndoo mara tatu mfululizo hatujamsikia msemaji wao akiropoka kama ufanyavyo manara.
Kote duniani, kazi za ma PR ni kutengeneza postive emergies za taasisi zao. sio mipasho wala kuropoka kama afanyavyo Manara.
sasa linakuja suala la usajili. manara wewe haupo kwenye benchi la ufundi, unaliongelea suala la isajili kutoka kwenye pembe ipi ya mpira?
Wandishi wa habari wa tanzania jirekebisheni? hivi unapomhoji masau bwire kuhusu kikosi cha jkt ruvu unatengeneza picha gani wakati kocha yupo.
haji manara jitathimini mkuu, unajidhalilisha na kuudhalilisha mpira.
Unakera
Paw unamtazama tu anadhalilisha mtu mwenye ualbino?Reality ipo wapi?. Manara ni zeruzeru mjinga nani ni chura sasa?

Issue siyo manara issue hapa ni bashite na mjomba wake kama wanayanga 2020 mtafanya mkosa kama yale ya 2015 mtakuja kushuka daraja mtakuja kuniambia hakuna mtu atajitokeza wekeza yanga kwa kuogopa yaliyo mkuta manji tupo hawa watu hawajuwi mpira hawa watu wanachokipenda wao wanataka kiwe tena kwa nguvu ikibidi wakupoteze ili mradi wanachokitaka kiwe
Wale wale vilaza buku saba!Ngoja na mi nikukere kidogo!!.. nasikia azam jana kawadunda tatu yaani mliloa kama mbweha.. halafu nasikia ngoma kasajili azam ili apate urahisi wa kutua chama la ukweli mnyama unyamani.. haf nasikia ajibu kagoma kucheza tena timu yenu yaani anasema bora avue dagaa mto kaunda kuliko kuchezea yanga.. halafu nasikia mzee akilimali kafunga milango ya klabu hataki kusikia nsajigwa wala nsa job.. kwi kwiiii!.. mi mdogo wake manara haya pasuka sasa chura wa kaunda mkubwa wewe
Wale wale vilaza buku saba!
Manara atawakamua sana mwaka huu, itabidi muwe wapole na wavumilivu wakati dawa inaingiaHata rangi ya manara tutaiona!. Tunakoelekea atakashifiwa mchukie.....yule Manara kapungukiwa kila kitu kuanzia akili mpaka rangi!!