Haji Manara, staha ni jambo muhimu sana kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu

Haji Manara, staha ni jambo muhimu sana kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu

Reality ipo wapi?. Manara ni zeruzeru mjinga nani ni chura sasa?
Huwajui chura?? Nenda pale jangwani utakuta bwawa , vyura wamejazana pale, hawana akili hata ya kutoka nje ya tope!
 
... Ligi ya mabingwa ulaya madrid wamechkua ndoo mara tatu mfululizo hatujamsikia msemaji wao akiropoka kama ufanyavyo manara...
Wala hatujawahi kuwasikia Louis Sendeu na Jerry Muro wakiropoka kama hivi 😀😀😀. Povu ruksa!
 
Sitaki akili yangu wala ya msomaji yeyote itilie manani juu ya uwezo wako kichwani, elimu yako, makuzi yako wala jamii yako.

Itoshe tu kusema staha ni jambo muhimu sana kwa binaadamu yeyote yule mwenye akili na utashi. wewe sio mmoja wapo mwenye staha. Unaropoka sana. inakera.

Dunia ni kijiji, japo sijui Tanzania ipo sehemu gani ya hicho kijiji kama ni mjini au kijijini mwa kijijini. Juzi tumeshuhudia ligi kuu mbalimbali barani ulaya na kwinginepo duniani zikitia tamati na mabingwa wakitangazwa.

Ligi yetu pendwa pale lwa malikia imeisha na city kuwa bingwa hatujamsikia msemaji wa klabu ile akipayuka hovyo kama Manara. Tuseme hayupo? Ligi ya mabingwa ulaya madrid wamechkua ndoo mara tatu mfululizo hatujamsikia msemaji wao akiropoka kama ufanyavyo manara.

Kote duniani, kazi za ma PR ni kutengeneza postive emergies za taasisi zao. sio mipasho wala kuropoka kama afanyavyo Manara.
sasa linakuja suala la usajili. manara wewe haupo kwenye benchi la ufundi, unaliongelea suala la isajili kutoka kwenye pembe ipi ya mpira?

Wandishi wa habari wa tanzania jirekebisheni? hivi unapomhoji masau bwire kuhusu kikosi cha jkt ruvu unatengeneza picha gani wakati kocha yupo.
haji manara jitathimini mkuu, unajidhalilisha na kuudhalilisha mpira.

Unakera

Mkuu, achana nao. Kutesa kwa zamu, yatapita tu na maisha yataendelea.
 
mimi ni mwanasimba ila kiukweli huwa sipendi kumsikiliza haji manara... hana akili, hana staha, hana busara..akili zake ni za kipumbavuh kama alivyokuwa yule wa yanga kipindi kile. ukosefu wa elimu ndo unamfanya adhani kumwa msemaji wa team ni kubwabwaja na kuongea mambo ya kiounguani tu kama mwanamke aso na mume. binafsi sipendi kusikia habari yoyote ikitolewa na haji manara. anaiharibu simba.... simba ilikuwa na wasemaji wastaarabu miaka ya nyuma.... sasa wamemleta mtu ambaye hana elimu wameharibu sana.

Sitaki akili yangu wala ya msomaji yeyote itilie manani juu ya uwezo wako kichwani, elimu yako, makuzi yako wala jamii yako.

Itoshe tu kusema staha ni jambo muhimu sana kwa binaadamu yeyote yule mwenye akili na utashi. wewe sio mmoja wapo mwenye staha. Unaropoka sana. inakera.

Dunia ni kijiji, japo sijui Tanzania ipo sehemu gani ya hicho kijiji kama ni mjini au kijijini mwa kijijini. Juzi tumeshuhudia ligi kuu mbalimbali barani ulaya na kwinginepo duniani zikitia tamati na mabingwa wakitangazwa.

Ligi yetu pendwa pale lwa malikia imeisha na city kuwa bingwa hatujamsikia msemaji wa klabu ile akipayuka hovyo kama Manara. Tuseme hayupo? Ligi ya mabingwa ulaya madrid wamechkua ndoo mara tatu mfululizo hatujamsikia msemaji wao akiropoka kama ufanyavyo manara.

Kote duniani, kazi za ma PR ni kutengeneza postive emergies za taasisi zao. sio mipasho wala kuropoka kama afanyavyo Manara.
sasa linakuja suala la usajili. manara wewe haupo kwenye benchi la ufundi, unaliongelea suala la isajili kutoka kwenye pembe ipi ya mpira?

Wandishi wa habari wa tanzania jirekebisheni? hivi unapomhoji masau bwire kuhusu kikosi cha jkt ruvu unatengeneza picha gani wakati kocha yupo.
haji manara jitathimini mkuu, unajidhalilisha na kuudhalilisha mpira.

Unakera
 
manji simtetei maana hata msemaji wa yanga alikiri kuwa MANJI ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA.. AUDIO yake ilisikika kwa watu wengi tu. so suala hapo si manji.... yanga nliwah waambia mapema wajipange manji hayupo siku zote na hatokuwepo siku zote.

Issue siyo manara issue hapa ni bashite na mjomba wake kama wanayanga 2020 mtafanya mkosa kama yale ya 2015 mtakuja kushuka daraja mtakuja kuniambia hakuna mtu atajitokeza wekeza yanga kwa kuogopa yaliyo mkuta manji tupo hawa watu hawajuwi mpira hawa watu wanachokipenda wao wanataka kiwe tena kwa nguvu ikibidi wakupoteze ili mradi wanachokitaka kiwe
 
Manara zeruzeru angekuwa mtoto wangu ningemgawa kwa masister bure..kama mbwai mbwai..usichague silaha kwenye vita
 
Ngoja na mi nikukere kidogo!!.. nasikia azam jana kawadunda tatu yaani mliloa kama mbweha.. halafu nasikia ngoma kasajili azam ili apate urahisi wa kutua chama la ukweli mnyama unyamani.. haf nasikia ajibu kagoma kucheza tena timu yenu yaani anasema bora avue dagaa mto kaunda kuliko kuchezea yanga.. halafu nasikia mzee akilimali kafunga milango ya klabu hataki kusikia nsajigwa wala nsa job.. kwi kwiiii!.. mi mdogo wake manara haya pasuka sasa chura wa kaunda mkubwa wewe
Wale wale vilaza buku saba!
 
Kama aliweza kubeba kabrasha LA TV kwa waandishi wa habari utafikiri kichwani zipo

Kwa sisi tulio soma math tunasema akili zake sawa sin(0)
 
Hata rangi ya manara tutaiona!. Tunakoelekea atakashifiwa mchukie.....yule Manara kapungukiwa kila kitu kuanzia akili mpaka rangi!!
Manara atawakamua sana mwaka huu, itabidi muwe wapole na wavumilivu wakati dawa inaingia
 
Hata uswahilini kutwa wanaoshinda vibarani kupiga umbea YANGA, kwenye bao YANGA, chuma ulete YANGA, hata ukipanga kwenye nyumba zao utaambiwa marufuku kupika nyama, hawa wote njaa ya tumbo na akili inaeasumbua. Wameenda kenya kushiriki mashindano ya sportspesa kwa mkopo, mwacheni Manara pambaneni na hali zenu
 
Back
Top Bottom