Haji Manara, staha ni jambo muhimu sana kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu

Haji Manara, staha ni jambo muhimu sana kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu

Hata uswahilini kutwa wanaoshinda vibarazani kupiga umbea YANGA, kwenye bao YANGA, chuma ulete YANGA, hata ukipanga kwenye nyumba zao utaambiwa marufuku kupika nyama, hawa wote njaa ya tumbo na akili inaeasumbua. Wameenda kenya kushiriki mashindano ya sportspesa kwa mkopo, mwacheni Manara pambaneni na hali zenu
 
Hahahahaha vingine ni tamaduni sio mpaka kuiga ulaya kwani ulaya wana utani wa makibara?????

Inauma hiyoooooo
 
Back
Top Bottom