kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.
Nimesikitishwa na kitendo chako kuendekeza matangazo kama hilo linalohamasisha ushoga. Hata kama lengo lako ni kuwatania Yanga ila hizi za kutangaza ushoga hazifai kabisa.
Mimi ni shabiki wa Simba damu ila aina hii ya utani haufai kabisa na unakushushia hadhi. Kwa hii tabia yako, watu wengi wenye staha wanaweza ku unfollow account yako.
Sikuandika huko kwani nakujua tabia yako ya kutopenda kushauriwa nini upost. Unadhalilisha wanaume kwa sababu ya watu washenzi wachache wasiojielewa na wewe unakuja kuwapa promo.