Haji Manara too much is harmful- video nyingine hazifai kuwekwa public

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.

Nimesikitishwa na kitendo chako kuendekeza matangazo kama hilo linalohamasisha ushoga. Hata kama lengo lako ni kuwatania Yanga ila hizi za kutangaza ushoga hazifai kabisa.

Mimi ni shabiki wa Simba damu ila aina hii ya utani haufai kabisa na unakushushia hadhi. Kwa hii tabia yako, watu wengi wenye staha wanaweza ku unfollow account yako.

Sikuandika huko kwani nakujua tabia yako ya kutopenda kushauriwa nini upost. Unadhalilisha wanaume kwa sababu ya watu washenzi wachache wasiojielewa na wewe unakuja kuwapa promo.
 
Hujaona alicho post Nuguz ko na nuguz anahamasisha ushoga?
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.

Nimesikitishwa na kitendo chako kuendekeza matangazo kama hilo linalohamasisha ushoga.Hata kama lengo lako ni kuwatania Yanga ila hizi za kutangaza ushoga hazifai kabisa.

Mimi ni shabiki wa Simba damu ila aina hii ya utani haufai kabisa na unakushushia hadhi.Kwa hii tabia yako,watu wengi wenye staha wanaweza ku unfollow account yako.

Sikuandika hako kwani nakujua tabia yako ya kutopenda kushauriwa nini upost.Unadhalilisha wanaume kwa sababu ya watu washenzi wachache wasiojielewa na wewe unakuja kuwapa promo.
 
Tukisema huyu zeruzeru punguani watu wanakuja juu kwamba tunamnyanyapaa
 
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.

Nimesikitishwa na kitendo chako kuendekeza matangazo kama hilo linalohamasisha ushoga.Hata kama lengo lako ni kuwatania Yanga ila hizi za kutangaza ushoga hazifai kabisa.

Mimi ni shabiki wa Simba damu ila aina hii ya utani haufai kabisa na unakushushia hadhi.Kwa hii tabia yako,watu wengi wenye staha wanaweza ku unfollow account yako.

Sikuandika hako kwani nakujua tabia yako ya kutopenda kushauriwa nini upost.Unadhalilisha wanaume kwa sababu ya watu washenzi wachache wasiojielewa na wewe unakuja kuwapa promo.
huyu akinyanyapaliwa na watu kutokana na hali yake sidhani kama kuna atakaye sympathise naye....
yeye mwenyewe hata hajionei huruma kwa mambo yake yaliyojaa shombo kupindukia.
 
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.

Nimesikitishwa na kitendo chako kuendekeza matangazo kama hilo linalohamasisha ushoga.Hata kama lengo lako ni kuwatania Yanga ila hizi za kutangaza ushoga hazifai kabisa.

Mimi ni shabiki wa Simba damu ila aina hii ya utani haufai kabisa na unakushushia hadhi.Kwa hii tabia yako,watu wengi wenye staha wanaweza ku unfollow account yako.

Sikuandika hako kwani nakujua tabia yako ya kutopenda kushauriwa nini upost.Unadhalilisha wanaume kwa sababu ya watu washenzi wachache wasiojielewa na wewe unakuja kuwapa promo.
Manara ana michango mingi sana ya kwa nini simba inafingwa na yanga.. anawaweka wachezaji under too much pressure!
 
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.

Nimesikitishwa na kitendo chako kuendekeza matangazo kama hilo linalohamasisha ushoga.Hata kama lengo lako ni kuwatania Yanga ila hizi za kutangaza ushoga hazifai kabisa.

Mimi ni shabiki wa Simba damu ila aina hii ya utani haufai kabisa na unakushushia hadhi.Kwa hii tabia yako,watu wengi wenye staha wanaweza ku unfollow account yako.

Sikuandika hako kwani nakujua tabia yako ya kutopenda kushauriwa nini upost.Unadhalilisha wanaume kwa sababu ya watu washenzi wachache wasiojielewa na wewe unakuja kuwapa promo.
That is unprofessional
 
Tunaipenda Simba lakini Hilo ni too much!
 
Back
Top Bottom