Haji Manara unamvunjia heshima mzee Sunday Manara

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Huwa najiuliza Haji huna kazi zingine za kukufanya uendeshe maisha? Maana naona unajitoa ufahamu kiasi kwamba unaihararibu imagi na heshima ya Mzee Sunday.

Unasema katiba za vilabu zifuatwe, nini kikubwa su chenye nguvu, katiba za vilabu au kanuni za TFF ambazo zimewekwa kwa makubaliano ya pamoja kati ya tff, vilabu na wadau?

Hii ni sawa kusema tuache kufuata katiba ya nchi na tufuate katiba ya NCCR, CHADEMA, act nk.

Mdogo wangu kama huna kazi ingine ya kuendesha maisha jitahidi kukeza ili uondokane na haya maajabu na mauzauza unayofanya.
 
Umeelewa lakini au unavamia gari kwa mbele

Umeandika nini hiki?!!umeandika kama umetoroka milembe,maneno hayaeleweki!! Uwe una hariri kwanza kabla ya kukimbilia kupost!!au ulifikili kwakuwa kigoma ni mbali uzi utachelewa kuwafikia wadau?!!!
Tunamwambia ukweli anakuwa mbishi na mjuaji! watu wa aina hii ni kuachana nao!
 
Umeandika nini hiki?!!umeandika kama umetoroka milembe,maneno hayaeleweki!! Uwe una hariri kwanza kabla ya kukimbilia kupost!!au ulifikili kwakuwa kigoma ni mbali uzi utachelewa kuwafikia wadau?!!!
Iq ya ni ndogo ndiyo maana huwezi kuelewa
 
Huwa najiuliza Haji huna kazi zingine za kukufanya uendeshe maisha? Maana naona unajitoa ufahamu kiasi kwamba unaihararibu imagi na heshima ya Mzee Sunday.

Unasema katiba za vilabu zifuatwe, nini kikubwa su chenye nguvu, katiba za vilabu au kanuni za TFF ambazo zimewekwa kwa makubaliano ya pamoja kati ya tff, vilabu na wadau?

Hii ni sawa kusema tuache kufuata katiba ya nchi na tufuate katiba ya NCCR, CHADEMA, act nk.

Mdogo wangu kama huna kazi ingine ya kuendesha maisha jitahidi kukeza ili uondokane na haya maajabu na mauzauza unayofanya.
Sasa sunday manara hana nyumba anaishi kwa rafiki
 
Achana na mbwiga huyo.
 
Back
Top Bottom