nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Huwa najiuliza Haji huna kazi zingine za kukufanya uendeshe maisha? Maana naona unajitoa ufahamu kiasi kwamba unaihararibu imagi na heshima ya Mzee Sunday.
Unasema katiba za vilabu zifuatwe, nini kikubwa su chenye nguvu, katiba za vilabu au kanuni za TFF ambazo zimewekwa kwa makubaliano ya pamoja kati ya tff, vilabu na wadau?
Hii ni sawa kusema tuache kufuata katiba ya nchi na tufuate katiba ya NCCR, CHADEMA, act nk.
Mdogo wangu kama huna kazi ingine ya kuendesha maisha jitahidi kukeza ili uondokane na haya maajabu na mauzauza unayofanya.