nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Umeelewa lakini au unavamia gari kwa mbele?Mkuu, unaleta hoja za wazazi tena!? Acha mkuu, haya mambo ya ushabiki, yabaki kuwa binafsi, Wazazi tusiwahusishe mkuu.
Umeelewa lakini au unavamia gari kwa mbele
Tunamwambia ukweli anakuwa mbishi na mjuaji! watu wa aina hii ni kuachana nao!Umeandika nini hiki?!!umeandika kama umetoroka milembe,maneno hayaeleweki!! Uwe una hariri kwanza kabla ya kukimbilia kupost!!au ulifikili kwakuwa kigoma ni mbali uzi utachelewa kuwafikia wadau?!!!
Iq ya ni ndogo ndiyo maana huwezi kuelewaUmeandika nini hiki?!!umeandika kama umetoroka milembe,maneno hayaeleweki!! Uwe una hariri kwanza kabla ya kukimbilia kupost!!au ulifikili kwakuwa kigoma ni mbali uzi utachelewa kuwafikia wadau?!!!
Unashangaa ubishi wakati ni wa KIGOMATunamwambia ukweli anakuwa mbishi na mjuaji! watu wa aina hii ni kuachana nao!
Sasa sunday manara hana nyumba anaishi kwa rafikiHuwa najiuliza Haji huna kazi zingine za kukufanya uendeshe maisha? Maana naona unajitoa ufahamu kiasi kwamba unaihararibu imagi na heshima ya Mzee Sunday.
Unasema katiba za vilabu zifuatwe, nini kikubwa su chenye nguvu, katiba za vilabu au kanuni za TFF ambazo zimewekwa kwa makubaliano ya pamoja kati ya tff, vilabu na wadau?
Hii ni sawa kusema tuache kufuata katiba ya nchi na tufuate katiba ya NCCR, CHADEMA, act nk.
Mdogo wangu kama huna kazi ingine ya kuendesha maisha jitahidi kukeza ili uondokane na haya maajabu na mauzauza unayofanya.
Achana na mbwiga huyo.Huwa najiuliza Haji huna kazi zingine za kukufanya uendeshe maisha? Maana naona unajitoa ufahamu kiasi kwamba unaihararibu imagi na heshima ya Mzee Sunday.