Haji Manara unatakiwa usome alama za nyakati. Wakati umeanza kukukataa

Kwa Jinsi Alivyo na Nyodo Za Kizaramo, nilishangaa Yanga Kumpokea jinsi alivyokuwa anawakejeli kipindi yupo Simba...!

Wana Simba hawawezi Kamwe Kumpokea tena ..! Hawataweza kula Matapishi kama Walivyofanya Yanga...!

Sasa akajitafute kwenye timu ndogo ndogo!
Nyakati hazidumu wanayanga wameanza maisha mengine bila yeye
 
Unqchokitafuta nikufanyie nitakuacha na bawasiri
Sawa ila
Kamwe usisubiri anguko la mwanaume mwenzako
Kuna watu wana tandam kadhaa nyuma za watu wanaowategemea
Ukishangilia na kusema unaona anguko la mtu anaehangaika kujitafutia ridhiki na familia yake
Nakushangaa sana
 
Ridhiki =riziki
 
Haji amepigwa chini na Yanga wanaompotezea wanayanga mimi sipo Yanga wala uongozi wao hatuna ukaribu wowote sasa mimi naletaje anguko la haji wewe cd?
Au matundu yako ya mwili yanakuwasha?
 
Bado soka letu linamhitaji sana, Hawa unaowaona ni yeye ndio alichonga barabara. Hakuna wa kumshinda hapo
 
Kila jambo lina wakati wake." A good dancer knows when to leave the stage"
 
Kwa Jinsi Alivyo na Nyodo Za Kizaramo, nilishangaa Yanga Kumpokea jinsi alivyokuwa anawakejeli kipindi yupo Simba...!

Wana Simba hawawezi Kamwe Kumpokea tena ..! Hawataweza kula Matapishi kama Walivyofanya Yanga...!

Sasa akajitafute kwenye timu ndogo ndogo!
Mfano nzuri umejitokeza kwa Dulla makabila.
 
Roporopo Manara , aliingia kwenye mtego wa hers . Hakujua kwamba hers alitaka tu kumtumia kwa muda kisha amtupe pembeni.
 
hafai kabisa. Aliniudhi sana siku ile kamsukuma Kamwe kwenye press walivyokuwa wanabadilishana podium, hana weledi
Mimi kaniuzi siku ile ya siku ya mwananchi kuleta mambo ya nje ya uwanja kwenye sherehe inayoshuhudiwa na watu wenye heshima zao yeye kakomalia Mobeto tu
 
Kwa Jinsi Alivyo na Nyodo Za Kizaramo, nilishangaa Yanga Kumpokea jinsi alivyokuwa anawakejeli kipindi yupo Simba...!

Wana Simba hawawezi Kamwe Kumpokea tena ..! Hawataweza kula Matapishi kama Walivyofanya Yanga...!

Sasa akajitafute kwenye timu ndogo ndogo!
Anapokewa vizuri tu,,Hii bongo si Spain
 
Back
Top Bottom