sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #21
Nyakati hazidumu wanayanga wameanza maisha mengine bila yeyeKwa Jinsi Alivyo na Nyodo Za Kizaramo, nilishangaa Yanga Kumpokea jinsi alivyokuwa anawakejeli kipindi yupo Simba...!
Wana Simba hawawezi Kamwe Kumpokea tena ..! Hawataweza kula Matapishi kama Walivyofanya Yanga...!
Sasa akajitafute kwenye timu ndogo ndogo!
Akomae na online tv yake au arudi kuchambua boli kama jemedarrinaliona anguko la manara ingawa sio mpenzi wa soka ni muda sasa naona kama kuna anguko lipo mbele yake
namshauri jamaa afanye mambo mengine
Power is not permanentSio yeye tu kila MTU anapostawi anabidi pia kujiandaa na wakati wake wa kusinyaa it is matter of time .
Sawa ilaUnqchokitafuta nikufanyie nitakuacha na bawasiri
Ridhiki =rizikiSawa ila
Kamwe usisubiri anguko la mwanaume mwenzako
Kuna watu wana tandam kadhaa nyuma za watu wanaowategemea
Ukishangilia na kusema unaona anguko la mtu anaehangaika kujitafutia ridhiki na familia yake
Nakushangaa sana
Haji amepigwa chini na Yanga wanaompotezea wanayanga mimi sipo Yanga wala uongozi wao hatuna ukaribu wowote sasa mimi naletaje anguko la haji wewe cd?Sawa ila
Kamwe usisubiri anguko la mwanaume mwenzako
Kuna watu wana tandam kadhaa nyuma za watu wanaowategemea
Ukishangilia na kusema unaona anguko la mtu anaehangaika kujitafutia ridhiki na familia yake
Nakushangaa sana
Bado soka letu linamhitaji sana, Hawa unaowaona ni yeye ndio alichonga barabara. Hakuna wa kumshinda hapo
Mfano nzuri umejitokeza kwa Dulla makabila.Kwa Jinsi Alivyo na Nyodo Za Kizaramo, nilishangaa Yanga Kumpokea jinsi alivyokuwa anawakejeli kipindi yupo Simba...!
Wana Simba hawawezi Kamwe Kumpokea tena ..! Hawataweza kula Matapishi kama Walivyofanya Yanga...!
Sasa akajitafute kwenye timu ndogo ndogo!
Ukiona mwanamme mbea ujue ni shoga tu hilo.Hujui siku hizi wanaume wanaongoza kwa umbea?
Alifungiwa na Hersi? Au sheria za jijinga za TFF za kuua vipaji?Roporopo Manara , aliingia kwenye mtego wa hers . Hakujua kwamba hers alitaka tu kumtumia kwa muda kisha amtupe pembeni.
Mimi kaniuzi siku ile ya siku ya mwananchi kuleta mambo ya nje ya uwanja kwenye sherehe inayoshuhudiwa na watu wenye heshima zao yeye kakomalia Mobeto tuhafai kabisa. Aliniudhi sana siku ile kamsukuma Kamwe kwenye press walivyokuwa wanabadilishana podium, hana weledi
Anapokewa vizuri tu,,Hii bongo si SpainKwa Jinsi Alivyo na Nyodo Za Kizaramo, nilishangaa Yanga Kumpokea jinsi alivyokuwa anawakejeli kipindi yupo Simba...!
Wana Simba hawawezi Kamwe Kumpokea tena ..! Hawataweza kula Matapishi kama Walivyofanya Yanga...!
Sasa akajitafute kwenye timu ndogo ndogo!
Bibi jiangalie NITAKUWEKAUkiona mwanamme mbea ujue ni shoga tu hilo.