Haji Manara usinyamaze, kuna dhuluma za wazi zimefanywa dhidi ya Simba

Haji Manara usinyamaze, kuna dhuluma za wazi zimefanywa dhidi ya Simba

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Haji Manara bila shaka umeona mpira wote na umejionea jinsi simba walivyokuwa wanafanyiwa hujuma na Refa na kuporwa haki yao wazi wazi...

Nategemea kesho utaita waandishi wa habari na Flat Screen ya inch 75 kuonesha wazi ulimwengu Jinsi simba wanavyo nyanyaswa na marefa wa Yanga.... ni wazi wenye kombe hili wanataka Yanga au Azam watwae ubingwa...
Manara hili jambo ikiwezekana lifike FIFA hakuna kurudi Nyuma.
 
Timu yako mbovu huna timu ya ushindi umepewa penalti ya bure lakini umeshindwa kubebeka inamshauri manala alopoke subili na ubingwa ukose kabisa
 
Hata mi nashauri wanasimba wote tulaani uonevu huu, ikiwezekana tuandamane hadi fifa kupinga
 
Simba tayari tumeisha kata rufaa, kuna wachezaji wawili wa green warriors usajili wao una utata.........
 
Ndo madhara ya kubeba used, namwona tu mhenga boko anavojikunjakunja tu bila mafanikio, omog fumua io safi ya ushambuliaji yotee warudishe kina mnyate
 
Simba tayari tumeisha kata rufaa, kuna wachezaji wawili wa green warriors usajili wao una utata.........
[emoji23][emoji23] [emoji23] kumbukeni kuleta majibu msikae kimya kama ile ya mwanzo
 
Kwani yanga wao washacheza game yao, au hawamo kwenye haya mashindano!??
 
Timu yako mbovu huna timu ya ushindi umepewa penalti ya bure lakini umeshindwa kubebeka inamshauri manala alopoke subili na ubingwa ukose kabisa
unazijua za bure ww? pumbav miwatu mingne inakera sana yan
 
Niko hapa FIFA nikiongozana na bwana manana kuhakikisha mambo yanakaa sawa, haiwezekani wachezaji wacheze wakiwa na kadi za njano
 
25507823_1619268168130008_804473303992130419_n.jpg
 
Kwani yanga wao washacheza game yao, au hawamo kwenye haya mashindano!??
Yanga inaingiaje kwenye ukweli kwamba Simba imeshatolewa? Au kuna rufaa inakuja kwa Bingwa mtetezi kutangulizwa kucheza mechi kabla ya mtani wake? Au kuna mpango kabambe wa kuziingiza timu hizi mbili kubwa kwenye raundi ya pili iwapo zote zitatolewa hatua ya kwanza?Au kuna mipango ya kusogeza mbele dirisha la hatua inayofuata mpaka Simba akamilishe taratibu za rufaa yake kabla ya mechi ya Yanga?
 
Back
Top Bottom