Timu yako mbovu huna timu ya ushindi umepewa penalti ya bure lakini umeshindwa kubebeka inamshauri manala alopoke subili na ubingwa ukose kabisaHaji Manara bila shaka umeona mpira wote na umejionea jinsi simba walivyokuwa wanafanyiwa hujuma na Refa na kuporwa haki yao wazi wazi...
Nategemea kesho utaita waandishi wa habari na Flat Screen ya inch 75 kuonesha wazi ulimwengu Jinsi simba wanavyo nyanyaswa na marefa wa Yanga.... ni wazi wenye kombe hili wanataka Yanga au Azam watwae ubingwa...
Manara hili jambo ikiwezekana lifike FIFA hakuna kurudi Nyuma.
[emoji23][emoji23] [emoji23] kumbukeni kuleta majibu msikae kimya kama ile ya mwanzoSimba tayari tumeisha kata rufaa, kuna wachezaji wawili wa green warriors usajili wao una utata.........
unazijua za bure ww? pumbav miwatu mingne inakera sana yanTimu yako mbovu huna timu ya ushindi umepewa penalti ya bure lakini umeshindwa kubebeka inamshauri manala alopoke subili na ubingwa ukose kabisa
Yanga keshatolewa vipi Simba bado wamo?Kwani yanga wao washacheza game yao, au hawamo kwenye haya mashindano!??
Nasikia kuna mchezaji ana kadi tatu za harusi, Manara alifanyie Nazi hili!!Simba tayari tumeisha kata rufaa, kuna wachezaji wawili wa green warriors usajili wao una utata.........
Subiri j2 utajua vzrKwani yanga wao washacheza game yao, au hawamo kwenye haya mashindano!??
Yanga inaingiaje kwenye ukweli kwamba Simba imeshatolewa? Au kuna rufaa inakuja kwa Bingwa mtetezi kutangulizwa kucheza mechi kabla ya mtani wake? Au kuna mpango kabambe wa kuziingiza timu hizi mbili kubwa kwenye raundi ya pili iwapo zote zitatolewa hatua ya kwanza?Au kuna mipango ya kusogeza mbele dirisha la hatua inayofuata mpaka Simba akamilishe taratibu za rufaa yake kabla ya mechi ya Yanga?Kwani yanga wao washacheza game yao, au hawamo kwenye haya mashindano!??