Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Umejibu swali la darasa la saba kwa kutumia "Material" Ya PhD. Sijui watakuelewa??Hao wote uliowataja hawana uwezo wa kujaza uwanja wa mkapa isipokua aina ya mechi na umuhimu wake au tukio lolote kubwa linaloihusisha club basi.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
uongoHaji ni promoter mzuri sana wa jambo, hao uliowataja wanafanya aliyokwisha fanya manara!. Manara amefanya watu waupende mpira, manara ni Kama mandonga leo Tz watu walio wengi wanafuatilia ndondi kisa mandonga...
Hapana nakataa,Haji ni promoter mzuri sana wa jambo, hao uliowataja wanafanya aliyokwisha fanya manara!. Manara amefanya watu waupende mpira, manara ni Kama mandonga leo Tz watu walio wengi wanafuatilia ndondi kisa mandonga...