Kutoa draw na mbeya city ndio anachukua ubingwa wa africa. Muacheni huyo punguani
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Wameshindwa kulipa buku buku ya nani zaidi ndio iwe CAF?Hapana.
Hawajazoea vya kuiba.
WanaJangwani wanatamaduni ya kulipa gharama ya kile wanachokihitaji.
.Bugatti kama Buggat,semaji genius Africa
Unaionhlgelea hii utopwinyo hii hii au kuna nyingine..? Afu why kila ka press keni mnaiongelea simba?? Simba hawana time ya kuongelea manyani kwenye press zao. Mjitambue kwanza. Kombe la CAF au La CUF ya lipumba tujuzane. Maana hayo mashindano mwaka huu unaoanza mpaka simba anaanza kucheza nyie msharudi kidimbwiNdugu Haji Sunday Manara leo kwenye Press Conf ya Klabu bingwa ya kihistoria ametanabaisha kuwa kwa mipango aliyoishuhudia ndani ya klabu hiyo anaamini kuwa kama kuna klabu yeyote afrika mashariki inatwaa Ubingwa wa CAFCL basi klabu hiyo itakuwa ni YANGA SC.
Hayo ameyasema akiwa anasukumwa na mambo mbalimbali na mipango ya muda mrefu na mfupi iliyowekwa klabuni hapo.
Aidha, Manara ameweka wazi kuwa kutokana na mazingira mazuri ya mabadiliko ya kuliuendeshaji klabu yaliyofanyika klabuni hapo yanampa kiburi zaidi kuamini kuwa hata wapinzani wao (SIMBA SC) hawana uwezo wa kufanya vyema kwa sababu kuna ubabaishaji mwingi katika namna wanavyo endesha klabu yao.
Hapo kwa Mayele bosi tafakari tena.Manara yupo sahihi
Yanga itakuwa timu ya kwanza kutwaa caf champions legue kutoka africa mashariki kama gsm akiendelea kutoa hela zaidi na zaidi mbeleni.. ila sio msimu huu wala ujao. Sio kwa kikosi hiki cha sasa.
Mimi mwanayanga ila natambua bado hatujawa tayari kutwaa caf champions league kwa kikosi cha sasa hivi.
Ni ngumu sana kutwaa ubingwa huo kwa kutegemea beki mwenye umbo kama la kibwana shomari. Kiungo kama Fei Toto na mshambuliaji kama mayele sio level za kutwaa caf champions league.
Mtu naemwona yupo tayari ni mmoja tu ambaye ni goal keeper ila wengine wote waliobaki hawawezi kutufanya yanga tutwae caf champions league.
genius aliyetoa tamko la Yabga nzima ni wakosa akili 🤣🤣🤣Bugatti kama Buggat,semaji genius Africa
Hapo kwa Mayele bosi tafakari tena.
Kwa mfano wale Pirates wangekuwa na mtu kama Mayele ile confederation wangechukua. Mayele ni goal getter. Hilo halina ubishi kwa sasa
ni kama kitaani unakaa na washkaji mtaani ila ukiingia chimbo unakaza unatoboa. sasa washakaji wanajitia ujinga wanaona easy tuYani Simba kufika robo fainali hizo mara kadhaa imefanya hadi timu ambazo hazijawahi kuvuka group stage ya CAFCL kuanza kuota ubingwa. Sio rahisi kiasi hicho, focus yenu iwe kufika makundi kwanza.
Basi Sawa lakini kg 800 kashaanza kuomba CAF iwaangalie mechi za kuanza.Bugatti kama Buggat,semaji genius Africa
Labda kombe la bilauri....yaan iyo group stage tu kwanza kuicheza mwakq jana walishindwaa walitolewa mapemaaNdugu Haji Sunday Manara leo kwenye Press Conference Klabu bingwa ya kihistoria ametanabaisha kuwa kwa mipango aliyoishuhudia ndani ya klabu hiyo anaamini kuwa kama kuna klabu yeyote Afrika Mashariki inatwaa Ubingwa wa CAFCL basi klabu hiyo itakuwa ni YANGA SC.
Hayo ameyasema akiwa anasukumwa na mambo mbalimbali na mipango ya muda mrefu na mfupi iliyowekwa klabuni hapo.
Aidha, Manara ameweka wazi kuwa kutokana na mazingira mazuri ya mabadiliko ya kuliuendeshaji klabu yaliyofanyika klabuni hapo yanampa kiburi zaidi kuamini kuwa hata wapinzani wao (SIMBA SC) hawana uwezo wa kufanya vyema kwa sababu kuna ubabaishaji mwingi katika namna wanavyo endesha klabu yao.
Kwani haisemei Yanga mpaka aitaje Simba?Ndugu Haji Sunday Manara leo kwenye Press Conference Klabu bingwa ya kihistoria ametanabaisha kuwa kwa mipango aliyoishuhudia ndani ya klabu hiyo anaamini kuwa kama kuna klabu yeyote Afrika Mashariki inatwaa Ubingwa wa CAFCL basi klabu hiyo itakuwa ni YANGA SC.
Hayo ameyasema akiwa anasukumwa na mambo mbalimbali na mipango ya muda mrefu na mfupi iliyowekwa klabuni hapo.
Aidha, Manara ameweka wazi kuwa kutokana na mazingira mazuri ya mabadiliko ya kuliuendeshaji klabu yaliyofanyika klabuni hapo yanampa kiburi zaidi kuamini kuwa hata wapinzani wao (SIMBA SC) hawana uwezo wa kufanya vyema kwa sababu kuna ubabaishaji mwingi katika namna wanavyo endesha klabu yao.
Nilishangaa sana siku ile waliyoweka standi pale Msimbazi. Yaani utafikiri mawifi wanaokwenda kufanya vurugu kwa mke mwenza!! Halafu kuna watu wana PhD kule. Ila kwa vile mwenyewe alishasema kuwa kuna wawili tu, basi.Ukimsikiliza manara ndo unajua kweli kaumia kuondoka simba wakaamua kuweka kambi mbele ya jengo la simba ili simba wafanye vurugu ila simba wana akili sio kama utopolo wanaoenda airport kupokea wageni simba wakakausha kama hakijatokea kitu.
Mkuu, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Tunadanganywa kwenye siasa na kwenye mpiea pia nako wanatudanganya.
Tumesikia wataomba CAF waanzie away waje wamalizie home! Sawa, mipango mizuri. Ila....!Hapana.
Hawajazoea vya kuiba.
WanaJangwani wanatamaduni ya kulipa gharama ya kile wanachokihitaji.