Haji Manara: Yanga SC itakuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki kutwaa taji la CAFCL

Naomba mods msifute huu uzi tafadhali maana Agosti haiko mbali
 
Ndio maana wanamleta Aziz Ki na Kambole yupo
 
Wameshindwa kulipa buku buku ya nani zaidi ndio iwe CAF?

Hao hao walio shindwa kulipa bukubuku ndio walio mchukia Aziz KI mdomoni pa CEO wenu.
 
Hao hao walio shindwa kulipa bukubuku ndio walio mchukia Aziz KI mdomoni pa CEO wenu.
Hizo ni drama za kitoto ambazo mashabiki wa Yanga tu ndio wanaweza kuamini kua Simba ilikuwa kwenye competition ya kumgombania aziz ki

Viongozi wenu wamewafanya wajinga wakijua kwamba mchezaji yeyote ambaye hatokuwa kwenye chaguo la simba hawezi kuwa na mvuto machoni mwa mashabiki wengi wa yanga endapo akisajiliwa

Na ndio hapo walioona umuhimu wa kuunda tume ya kutengeneza propaganda ya kuwafanya mashabiki wa yanga waone kama simba ilikuwa iko kwenye kinyang'ang'anyio kumsajili mchezaji huo ila Yanga imewazidi kete
 
Na Yanga itakuwa timu ya kwanza kuwa na mashabiki wajinga kupitiliza wasio jifunza kupitia makosa kwa kuamini mdomo wa manara ambao miezi kadhaa iliyopita mdomo huo huo uliongea uongo kuhusu Yanga kushiriki CAF hatua ya awali.
Takadini tangu akataliwe na yule mchezaji aliyeondoka, kawa km kidampa wa vikindu, lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwa Mayele bosi tafakari tena.
Kwa mfano wale Pirates wangekuwa na mtu kama Mayele ile confederation wangechukua. Mayele ni goal getter. Hilo halina ubishi kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo chaliiiii mayeleeee.
 
Timu gani hiyo unayosema haijawahi kufika robo fainali ya CAF CL?.

Rudi kwenye makablasha yako uangalie tena kwa umakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…