HAJI MANARA: Yote maisha, nimezamishwa kuna siku nitainuka, ninachoshukuru ninajua kuogelea!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kulalamika sasa.
Unaweza ukasema wanamuonea.
Tatizo mdomo
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Manara anachangamsha sana soka la bongo!! Kumkosa Manara kwenye soka la bongo tutakosa mashamsham fulani hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…