Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kwenye press ya Mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu na bahati mbaya waandishi wa habari hawakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu Haji Manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka na ile bilioni 21 aliyosema ametumia haieleweki aliwakopesha Simba au alijitolea Kama anavyojinasibu kuwa anaipenda simba? Ameweka bil.20 na wakati huo huo anawadai bil.21 hiyo tuiiteje wanajukwaa😄😄😄😄