Haji Manara yuko sahihi kwa hili

Haji Manara yuko sahihi kwa hili

Huyo kuna vitu anaficha kuhusu hiyo bilioni 20 na pia mapato halisi ya Club huku akijifanya hakuna faida kwake. Huyo Barbra mshahara wake ni kiasi gani?
Mkuu Mambo Sasa yameiva, ni muda nzuri Mo atupe ukweli kuhusu hizi hoja zilizoibuliwa na Manara, na atwambie hiyo bil 21 aliipa Simba kma mkopo au alitoa msaada?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Maswali ni mengi kwa kweli inabidi iundwe timu huru ili ifanye uchunguzi wa kina nini kinachoendelea pale Msimbazi. Kuna kila dalili kuna wizi na utapeli mkubwa sana.
Na hayo manembo ya matangazo kwenye nguo yeye aliingia mkataba na Nani?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Hata bila timu na tume Simba inabebwa na wajanja mchana kweupe.
Maswali ni mengi kwa kweli inabidi iundwe timu huru ili ifanye uchunguzi wa kina nini kinachoendelea pale Msimbazi. Kuna kila dalili kuna wizi na utapeli mkubwa sana.
 
Mfanyabiashara mswahili umakini utawasaidia la sivyo kama wote mbumbumbu basi huko mbele kuna vilio.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Utopolo bhana!
Mna kijicho pembe kisebu sebu na kiroho papo.

Chukueni Haji Manara hana kazi sasa hivi sisi tunataka vikombe
Kwenye press ya mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu, na bahati mbaya waandishi wa habari hawwakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu haji manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka, na ile bilioni 21 aliyosema ametumia haieleweki aliwakopesha simba au alijitolea Kama anavyojinasibu kuwa anaipenda simba? Ameweka bil.20 na wakati huo huo anawadai bil.21 iyo tuiiteje wanajukwaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jamaa yangu maisha yako ni kulalamika tu sio siasa, Michezo, Burudani yaani fungu ulilojichagulia ni manung'uniko[emoji28]
Huyo jamaa yeye ameumbwa mtu wa kulalama tu, Hadi huku kwenye starehe pia yeye wakulaumu tu, itakuwa Ni kajitu fulani hata mwili hakana
 
Huyo jamaa yeye ameumbwa mtu wa kulalama tu, Hadi huku kwenye starehe pia yeye wakulaumu tu, itakuwa Ni kajitu fulani hata mwili hakana
Yah kwa hulka hii ni ngumu kunawiri, Na walalamishi wana nafasi kubwa ya kuishia maisha magumu kwa sababu badala ya kupambana wanaamini hatima zao kuna watu wamezibeba kwa ajili yao
 
Back
Top Bottom