Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
.*/--=Miaka minne Bila kombe watu wameamua kubutua mapema. Hawatafanikiwa. Ndoo ya Tano mwakani. Hela mwacheni Mo achukue tu sie tunataka ndoo.
.'*Kuna mtu kasema Azam wakitoa Bilion 41 kama zile za Yanga Smba inachukua bilioni 21 yeye anachukua bilioni 20 zake...lakini bado anabaki kuonekana yeye ndio mfadhili mkuu mwenye hsa za bilion 20 pale simba.
Manara nae hajachukua kombe miaka mingapi?Miaka minne Bila kombe watu wameamua kubutua mapema. Hawatafanikiwa. Ndoo ya Tano mwakani. Hela mwacheni Mo achukue tu sie tunataka ndoo.
Yule dalali tu kama mpiga debeManara nae hajachukua kombe miaka mingapi?
Kwenye press ya mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu, na bahati mbaya waandishi wa habari hawwakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu haji manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka, na ile bilioni 21 aliyosema ametumia haieleweki aliwakopesha simba au alijitolea Kama anavyojinasibu kuwa anaipenda simba? Ameweka bil.20 na wakati huo huo anawadai bil.21 iyo tuiiteje wanajukwaa😄😄😄😄
Kama Simba hapati faida mbona aondoki kama alivyoondoka Afraca Lyon?Kwenye press ya mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu, na bahati mbaya waandishi wa habari hawwakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu haji manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka, na ile bilioni 21 aliyosema ametumia haieleweki aliwakopesha simba au alijitolea Kama anavyojinasibu kuwa anaipenda simba? Ameweka bil.20 na wakati huo huo anawadai bil.21 iyo tuiiteje wanajukwaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nendeni mkashitaki CAS ili Mo anyang'anywe hizo hisa.Simba hawana Chakujibu Mambo aliyo ongea Manara ni ukweli mtupu, alicho kiacha Manara ni kusema Simba imeshaondoka mikononi mwa wanachama wake Kwasasa ni timu ya Familia ya MO.
Kaweka 20 b kakopesha timu 21 b. Maana yake Kwasasa timu ni ya familia nikama Man United wanavyo hangaishwa na familia ya Grazier kwa sasa. Kama Barbara akikuchukia pale Simba hukai, na Jamii kubwa ya kihindi apa Bongo akikuchukia mke wa Muhindi ujue kibarua huna.
Jamaa yangu maisha yako ni kulalamika tu sio siasa, Michezo, Burudani yaani fungu ulilojichagulia ni manung'uniko[emoji28]Mo Dewji ni mwizi na tapeli.
Atakuwa mtoto wa kamboJamaa yangu maisha yako ni kulalamika tu sio siasa, Michezo, Burudani yaani fungu ulilojichagulia ni manung'uniko[emoji28]
Mo ni tapeli pure! Aliwahi kujitunuku kiwanda flani hivi mkoa flani hivi kiujanja ujanja sana.