HAJI MANARA

HAJI MANARA

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Tulio kuwa tuko bize na clouds kumsikiliza Haji Sunday Manara akitetema ( akiongea) kupitia clouds tukutane hapa, kumuunga mkono msemaji wetu bora kabisa anayewalazaga Gongowazi na viatu.
Tukutane Taifa Jumapili Tukaujaze uwanja kama kawaida yetu
This is Simba
#NguvuMoja
 
Rudi kwanza shuleni ujifunze kuandika ujembe
 
WANASimba Tambueni Hajj Manara ni ASSET NDANI YA KLABU YA SIMBA. Tusione anasemwa vibaya, endapo mkimpiga majungu akajiunga na YANGA ni Machungu sana kwetu Mashabiki. Tumwache aendeleee na kazi yake mkiweza hata mshahara mwongezeeeni.
 
Back
Top Bottom