The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Tulio kuwa tuko bize na clouds kumsikiliza Haji Sunday Manara akitetema ( akiongea) kupitia clouds tukutane hapa, kumuunga mkono msemaji wetu bora kabisa anayewalazaga Gongowazi na viatu.
Tukutane Taifa Jumapili Tukaujaze uwanja kama kawaida yetu
This is Simba
#NguvuMoja
Tukutane Taifa Jumapili Tukaujaze uwanja kama kawaida yetu
This is Simba
#NguvuMoja