The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Rudi kwanza shuleni ujifunze kuandika ujembeTulio kuwa tuko bize na clouds kumsikiliza Haji Sunday Manara akitetema ( akiongea) kupitia clouds tukutane hapa, kumuunga mkono msemaji wetu bora kabisa anayewalazaga Gongowazi na viatu.
Tukutane Taifa Jumapili Tukaujaze uwanja kama kawaida yetu
This is Simba
#NguvuMoja
Ujembe ndio nini ww Popoma??Rudi kwanza shuleni ujifunze kuandika ujembe
Ujembe ndio nini ww Popoma??
UJEMBE[emoji115][emoji115]Rudi kwanza shuleni ujifunze kuandika ujembe
Mbumbumbu kwa Mbumbumbu mmekutana.Rudi kwanza shuleni ujifunze kuandika ujembe
Rudi kwanza shuleni ujifunze kuandika ujembe
huyu jamaa atakuwa na ID nying aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hii ID na hayo majibu inataka kufanana na ya mtu fulani hivi ambaye anadai eti ni mwanahabari